Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti ana haha redio za huko Buza kakimbia mdahaloKazi mnayo, mtakesha mkichambua kila alichoongea Lissu kwenye mdahalo leo.
Mwenyekiti wenu wa mapendano ndio bye bye.
Mbona sasa una ndimi mbili mkuu? Huku unasema Lissu na wenzie wafukuzwe huku unamkandia Mwenyekiti!Mwenyekiti ana haha redio za huko Buza kakimbia mdahalo
Huyu mna mpango gani nae?Kazi mnayo, mtakesha mkichambua kila alichoongea Lissu kwenye mdahalo leo.
Mwenyekiti wenu wa mapendano ndio bye bye.
Wajumbe wamekula hela alafu wanataka wampe kura lisu kwa kweli hata mimi nisingekubali kutapelewa mara mbili..Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
chadema hakuna watu, kuna takataka eti ni senoir vionozi! Yooooooooooooooooote ni takatakaHawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Ili iweje sasa, Mbowe kajidhalilisha mwenyewe kwa tamaa zake za kijinga. Atoke tu, hatumtaki tena.Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Veggies ndo tulivyoMbona sasa una ndimi mbili mkuu? Huku unasema Lissu na wenzie wafukuzwe huku unamkandia Mwenyekiti!
Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Lese Majeste is so outdated.Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
Ukiona Mbowe kaondoka Chadema uje na Chadema HAIPO tena. Kwani Maalim Seif alpoondoka CUF, ilibaki?Kazi mnayo, mtakesha mkichambua kila alichoongea Lissu kwenye mdahalo leo.
Mwenyekiti wenu wa mapendano ndio bye bye.
Usimlinganishe Maalim na huyo jamaaUkiona Mbowe kaondoka Chadema uje na Chadema HAIPO tena. Kwani Maalim Seif alpoondoka CUF, ilibaki?