Afadhali ukae kimya kuliko kupotosha ukweli.Nafikiri hujanielewa hivyo ninahaki ya kukaa kimya.
Afadhali ukae kimya kuliko kupotosha ukweli.Nafikiri hujanielewa hivyo ninahaki ya kukaa kimya.
Naona dhahiri umeshindwa kukubaliana na hekima yangu ya kukaa kimya.Afadhali ukae kimya kuliko kupotosha ukweli.
Acha kumsumbua moderator, MBS karudisha miguu nyuma kwa wakati huu baada ya wafahidhina kuweka ngumu.
Acha kuweka taarifa za uongo unazozikuta mitandaoni kwa sababu tu zinakwenda kulingana matamanio yako au kwa sababu ni taarifa mbaya kuhusu Uislam na Waislam. Ukiona taarifa ambayo ni ya shari kwa Waislam unachekelea ukijua umepata kitu cha kusambaza dhidi yao. Wewe si huwa unajifanya mtu wa kufuatilia vitu kwa u serious wake na hupendi udaku na conspiracy theories na mambo ya tetesi? Huwa nakuona hivyo. Mbona unakuwa hovyo sasa na msambaza udaku? Au kwa sababu inahusu Uislam?
Mbingu kila moja anafahamu nini maana yake na sitalielezea tena hapa kwani ni kupoteza tu muda.Naona dhahiri umeshindwa kukubaliana na hekima yangu ya kukaa kimya.
Sasa unatakiwa kunifundisha huo ukweli ambao mimi ninapotosha ili nijifunze.
Kwa kuzingatia maelezo yako hapo nyuma umedai kwamba "dini sio tiketi ya kwenda mbinguni" hivyo;
Nakuomba kwanza utoe maana ya neno mbingu ni nini?
Pia nijibu ni kwanini lazima kwenda huko?
Kwanini umesema dini sio tiketi ya kwenda huko?
Kusema dini sio tiketi ya kwenda huko, kunamaanisha wewe sio mfuasi wa dini yeyote, Sasa je unaweza niambia umetoa wapi ambapo sio dini hilo fundisho la mbingu ?
NB: Naomba unifundishe ili nisirudie tena kupotosha 🙏🏿
Unakosea unaposema wote tunafahamu, Mimi sifahamu, ndiyo mana nataka kujua!!Mbingu kila moja anafahamu nini maana yake na sitalielezea tena hapa kwani ni kupoteza tu muda.
Hili ni fundisho la dini lilozoeleka japo halina uthibitisho.Wewe kwa kunijibu kwamba dini ndio njia ya watu kuendea mbinguni
Hivi unafahami maana ya mabishano, Sitaki kubishana, nataka kujifunza!!ndio ulipaswa unipe uthibitisho wa hilo na siyo kutafuta malumbano yasiyo na maana.
Nimekuambia unipe uthibitisho kwamba bila dini hakuna kuuona ufalme wa mbingu lakini umeshindwa badala yake unaleta tu porojo...!!!Unakosea unaposema wote tunafahamu, Mimi sifahamu, ndiyo mana nataka kujua!!
Hili ni fundisho la dini lilozoeleka japo halina uthibitisho.
Na mimi sio mfuasi wa dini yeyote ila natambua chanzo cha hadithi za mbingu ni dini.
Sasa wewe umedai kwamba kuna kwenda huko mbinguni bila dini, nataka kujua umetoa wapi hilo fundisho, kwangu nigeni - huenda unauthibitisho, Na huenda kunakitu cha maana hapa nitajifunza.
Hivi unafahami maana ya mabishano, Sitaki kubishana, nataka kujifunza!!
Hivyo jibu maswali, kama hujui tunachokijadili hapa uliza au kaa kimya.
Hili ni kama tangazo tu. Leo nchi nzima ya Saudia inaongelea PombeView attachment 3344963
View attachment 3344966
===
Afisa mmoja wa Saudi Arabia alikanusha Jumatatu taarifa za vyombo vya habari zilizodai kuwa ufalme huo, ambao ni mahali palipozaliwa Uislamu, ungeondoa marufuku ya miaka 73 dhidi ya pombe, ambayo imekatazwa kwa Waislamu.
Taarifa hiyo, ambayo iliripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa baada ya kuchapishwa kwenye blogu ya mvinyo wiki iliyopita, ilidai kuwa mamlaka za Saudi zilipanga kuruhusu uuzaji wa pombe katika maeneo ya utalii huku nchi hiyo ikijiandaa kuandaa Kombe la Dunia la Soka la mwaka 2034. Hata hivyo, haikutoa chanzo cha taarifa hiyo.
For english
A Saudi official denied on Monday media reports saying the kingdom, the birthplace of Islam, would lift its 73-year-old ban on alcohol, which is prohibited for Muslims.
The report, which was picked up by some international media after it appeared on a wine blog last week, said Saudi authorities planned to allow alcohol sales in tourist settings as the country prepares to host the 2034 soccer World Cup. It did not give a source for the information.
The once ultra-conservative kingdom has eased some restrictions to lure tourists and international businesses as part of an ambitious plan to diversify its economy and make itself less dependent on oil.
While alcoholic drinks are still off limits, both Saudis and foreigners can take part in activities that were once unthinkable in the Gulf country - from dancing at desert raves to watching models at fashion shows or going to the cinema.
Source: Reuters
Pombe ni nini?We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
Akili inayokwepa kutoa majibu kwa kujificha nyuma ya maswali haijafikia upeo wa ukomavu wa kihoja—imejifungia katika mzunguko wa mashaka usiolandana na mwangaza wa mantiki - Zeno of Citium.Nimekuambia unipe uthibitisho kwamba bila dini hakuna kuuona ufalme wa mbingu lakini umeshindwa badala yake unaleta tu porojo...!!!
Sawa tufikie kikomo lakini ukweli unabaki palepale kwamba dini na kwenda mbinguni ni vitu viwili tofauti kabisa na wewe baki kufia dini na mbingu utaisikia tu kama kuku anavyosikia kwamba kuna mto.Akili inayokwepa kutoa majibu kwa kujificha nyuma ya maswali haijafikia upeo wa ukomavu wa kihoja—imejifungia katika mzunguko wa mashaka usiolandana na mwangaza wa mantiki - Zeno of Citium.
Tofauti ya hoja si sababu ya ugomvi. Kwa busara na utulivu, naona tufikie kikomo cha mjadala huu hapa Mkuu Imeloa .
Mkuu mimi ni Agnostiki - Mtu mwenye msimamo kwamba yeyote anayesema Mungu yupo hawezi kuthibitisha na pia yeyote anayesema Mungu hayupo naye hawezi kuthibitisha hivyo Agnostiki anasimama katikati ya Atheist na Theist huku akipima upande wenye ushawishi akiwa na muelekeo wa kubadirika.Sawa tufikie kikomo lakini ukweli unabaki palepale kwamba dini na kwenda mbinguni ni vitu viwili tofauti kabisa na wewe baki kufia dini na mbingu utaisikia tu kama kuku anavyosikia kwamba kuna mto.