Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Wewe ulishafika?!Nyie tatizo len mpo duniani mnanza kupinga nani alisha fika peponi kati yenu
Wewe ulishafika?!Nyie tatizo len mpo duniani mnanza kupinga nani alisha fika peponi kati yenu
Ya akhera kijiko kimoja unalewa miaka 60 huku unagegeda mabikira wenye macho kama gololiPombe ya kile Ahera kwa mujibu wa Quran na hii ya duniani tofauti ni nini??
Amina!Wamebana weee! Wanaachia sasa! Ndio tuseme Mungu amelegeza neno lake au?
Naanza kuwaelewa wanaoamini dini ni apendavyo kutafsiri mtu au kikundi cha watu.
Imani katika Kristo Yesu ndio mpango mzima maana yeye ndiye alfa na omega tena ni yeye yule; jana, leo na hata milele.
We kilaza wapi Qur'an imesema neno pombe ina dhuru? Sa we nani useme pombe lazima iwe inadhuru ulisha fika peponi, mtu ukibisha bisha kwa fact. Qur'an Imesema watakunywa wanao subiri we kenge utajua wapi lugha ya Qur'an eti hakuna pombe isiyo dhuru. Qur'an imesema kuna Sharabu lani ta ghayri taaamu unajua mana yake unafikiria kihabeshi hicho hahaha.We kilaza nguruwe pombe haiwezi kukosa kilevi. Kama haina kilevi wangesema sharubati mbwa wewe. Huwezi sema pombe haina kilevi. Huwa hamna akili nyie pepo wewe
Mimi wapi nilisema nimefika peponi nyie wenzentu paa Yesu mlimuona kakaa upande wa kulia kwa Mungu hahahahaWewe ulishafika?!
Hio experiment mlifanya kanisa lipiTaarifa(in bungeni voice) pombe ilio mbingu ya akhera (mbingu ya waislam) kiasi cha kijiko kidogo cha kuchotea sukari(sio kile kikubwa cha kukorogea au tunacholia) mtu akitia pombe hio mdomoni akameza analewa MIAKA 60..(mwisho WA taarifa)
Wewe ni mjinga pro max maana hujui unachokisimamia.Wamebana weee! Wanaachia sasa! Ndio tuseme Mungu amelegeza neno lake au?
Naanza kuwaelewa wanaoamini dini ni apendavyo kutafsiri mtu au kikundi cha watu.
Imani katika Kristo Yesu ndio mpango mzima maana yeye ndiye alfa na omega tena ni yeye yule; jana, leo na hata milele.
Ili kuwa mfuasi wa dini kwanza lazima uwe mjinga na nje ya hapo huwezi kuwa na dini kwa sababu kwenye dini kuna maswali mengi yasiyo na majibu na ndio maana unatakiwa wewe uamini tu pasipo kuhoji chochote.We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
Hakuna popote pale Mungu alipoongelea dini kama njia ya kuendea kwenye ufalme wake.Mara ya kwanza na kubaliana na wewe lakini bila dini pia huendi peponi.
Kwenda peponi inategemea zaidi na vipi unavyo ingiliana na watu na tabia zako kwa watu.
Surah Ali 'Imran - 85Hakuna popote pale Mungu alipoongelea dini kama njia ya kuendea kwenye ufalme wake.
Toka lini dini inamfanya mtu awe mjinga labda ya kikristo sababu 1=3 huo ni ujinga tosha kabisa.Ili kuwa mfuasi wa dini kwanza lazima uwe mjinga na nje ya hapo huwezi kuwa na dini kwa sababu kwenye dini kuna maswali mengi yasiyo na majibu na ndio maana unatakiwa wewe uamini tu pasipo kuhoji chochote.
Hakuna aliyesema amemuona Yesu kakaa ila yeye mwenyewe ndie alisema atakaa na Baba yake,Mimi wapi nilisema nimefika peponi nyie wenzentu paa Yesu mlimuona kakaa upande wa kulia kwa Mungu hahahaha
Kilaza asie na uelewa na dini yake ndie huuliza hivi.Elimu akhera Una F tayariHio experiment mlifanya kanisa lipi
Tuelezee wewe unatawadha mara tatu why? unanawa mara tatu why? unasalimia Asalam Aleykum Mara tatu why? Unasema Allahu Akbar mara tatu why? wudu unanawa mkono wa shoto mara tu why? unanawa mkono wa kulia mara tatu why? unasukutua maji mdomoni kisha unatema mara tatu why? unatia maji puani na kupeng'a mara tatu why? unanawa uso mara tatu why? unaosha kipepsi mara tatu why? unaosha miguu mara tatu why? Ukinya unatawadha na Mawe matatu why? maji hamna? au nayo mmechukua kwa Sabian?Toka lini dini inamfanya mtu awe mjinga labda ya kikristo sababu 1=3 huo ni ujinga tosha kabisa.
www.arabnews.com