Wakati nafanya kazi Saudia, kambini kwetu zilikua zinaruhusiwa pombe kuingia but with condition, kwanza ili mpate kibari mnatakiwa kujiridhisha kama wenyeji hawatakuwepo hizi sehemu na mtakunywa kwa siku ngapi. Pale getini, walinzi walikua wanahesabu idadi ya chupa na sio cretes, siku mnayo rudisha walinzi walikua wanakuja kuhakiki, endapo kutakua na chupa zime miss, lazima mtoe maelezo mahali chupa ilipo. Kwa ujumla, Saudia na nchi nyingi za Kiarabu (including Iran) zina police wa aina 2, kama hawa wa kwetu halafu kuna na wale wa mila na utamaduni, yaani wanao angalia maadili. Hao wa maadili ndio walikua wanaogopwa zaidi kuliko police mambo ya usalama wa raia na mali zao. Taratibu wameanza kama Zanzibar