Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

Nimeona mtu kavaa kanzu anafanyia usafi banda la mifugo.

Ndonikauliza picha hiyo inahusiana nini na mada?
Mbona picha zipo zaidi ya tatu kwenye hii threed, je umejaribu kuuliza kila picha Inahusisha na nini na Mada??
 
Wamebana weee! Wanaachia sasa! Ndio tuseme Mungu amelegeza neno lake au?

Naanza kuwaelewa wanaoamini dini ni apendavyo kutafsiri mtu au kikundi cha watu.

Imani katika Kristo Yesu ndio mpango mzima maana yeye ndiye alfa na omega tena ni yeye yule; jana, leo na hata milele.
Hata nyie wa yesu pia ni mabwabwa tu
 
Ukristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.

Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
FILDAUS Kuna mito ya Pombe.. Allah ni hypocrite.

Pombe ni moja ya ushahidi kuwa Allah ndiye huyo huyo iblis kwani Allah anasifia Pombe na faida zake kiafya na kibiashara and wakati huo huo anasema Pombe ni kazi ya iblis.. so Uislam ni wa Iblis.
 
FILDAUS Kuna mito ya Pombe.. Allah ni hypocrite.

Pombe ni moja ya ushahidi kuwa Allah ndiye huyo huyo iblis kwani Allah anasifia Pombe na faida zake kiafya na kibiashara and wakati huo huo anasema Pombe ni kazi ya iblis.. so Uislam ni wa Iblis.
Wapi Allah kaisifia pombe alicho ongea hio pombe ya dunia ina madhara yeye kawandalia pombe isio na madhara.

Hapo lazima ufahamu hata ukila sana lazima utaonekana kama umelevyo vile. Si ajabu kule watakunywa juice mpaa ziwalevye hio ndio pombe yenyewe.

Hayo mfuasi wa Paulo msikie Mungu wako Yesu anasema nini kuhusu pombe, kwanza mtu nwenye akili akisoma hio bibilia nikama vile Yesu anasema alilewa hapa duniani. kutokana na bibilia zenu fake afu akasema hata lewa tena mpaa afike mbinguni. Sa na yeye unamhukumu vipi ni Shetani au tupe jibu

Mathayo 26.29

Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
 
Saudia iko mbali na dini!? Kwani lile jiwe jeusi ambalo Huwa mnaenda kulitupia mawe liko wapi kweli!? Sio saudia!? Sasa iweje saudia awe na uelewa mdogo wa dini kuliko wewe mwananchi wa Mpigamiti -Liwale!?

Umembana panapo saafi kabisa. Akikujibu nitag boss
 
Kumsingizia mtu uongo nadhani sio jambo sahihi mkuu; au labda unambie, kwa mujibu wa dini yako, kumsingizia mtu asie wa dini yako ni jambo sahihi (sitetei pombe cause hata mimi huaga sinywo kwa IMANI yangu ). Kwamba Wakristo tunafungishana ndoa za mashoga makanisani? Mwogope Mungu wako. Anyway, labda nisaidie hili, inawezekana vipi allah kazuia waumini wesinywe pombe duniani lakini kule kwenye pepo yake ya watagida pombe na kufanya ufuska wa kutosha? Kwa siku unalala na mabikira 70; yaani mungu hataki ulevi na umalaya duniani, kule kwake yeye ndio anakulewesha na kukupa wanawake, how is that possible? Msaada wako tafadhari

Katika pepo ya Allah, kila mja atamiliki dangulo lake. Pia mito ya pombe itakuwa ni mafuriko.
Nafikiria eti kujizuia kote huku na bata za dunia, eti hatma au zawadi yangu ni kupewa dangulo????
Ama kweli mudi na ngono ni mgambo na kirungu
 
Katika pepo ya Allah, kila mja atamiliki dangulo lake. Pia mito ya pombe itakuwa ni mafuriko.
Nafikiria eti kujutuma kote huku na bata za dunia, eti hatma au zawafi yangu ni kipewa dangulo????
Unakuta lim tu limekaririshwa maujinga eti ukifa unapewa wake 72 Kuna ujinga kweli dunian
 
We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
Hiyo siyo pombe ni juice, sifa ya pombe ni kulevya.
 
Back
Top Bottom