Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

Nyuzi kama hizi zinakuja kuwa hoja dhidi yetu kiyama. Binafsi naomba kuthibitishiwa habari hii kama ni ya kweli
 
Wewe convert kamwe siyo muislam. Utawaje wewe muislam kuliko MBS. Mbele yake wewe ni nyani tu
Kwa hio MBS ndio anaujua Uislam kuwanika mabint wa kisaudia na kuruhusu pombe hahaha kweli ukanisa ni ushetani mtupu
 
Huyo si wajuzi tu hapa hakutegemea kuwa atakuwa mfalme umemkumba ghafla. Nimeisha kuambia uarabu sio uislam lakini we endelea kuimba nyimbo ya paulo 1=3
We una shida sana. Usialm ni dini ya Waarab. Ndiyo maana lazima kuujua uislam ujifunze kiarab na uvae mavazi ya kiarab.

Sasa we rukia mambo ya Paulo wakati MBS anaendelea kuwaumbua. Au hujui kama MBS anaweza kuamua kesho wote msiende kuabudi lile jengo pale Makkah na hakuna kitu mtamfanya?
 
Hiyo siyo pombe ni juice, sifa ya pombe ni kulevya.
Pombe ya peponi ina laza tamu kuliko juice, bora umepata akili.

Sa Yesu naye kasema atakuwa pombe peponi vipi hapo.

Mathayo 26.29

Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
 
Ukristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.

Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Ila akhera kuna danguro na mito ya pombe,sio mbaya kuanzia duniani.
 
We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
Thibitisha
 
Thibitisha
Ngojea nikisha fika peponi takutumia experiment nilio fanya.

Nasikia wakanisa wanawasubiri hao mabikira 10 huko peponi.

Mathayo 25:1-4: “Ndipo ufalme wa mbinguni utafanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi

afu mlivyo wajinga mkatunga hadith fake eti waislam wanawakimbilia mabikra 72 wakati kwenye Uislam hakuna kitu hicho. Huo ujinga upo kwenye Ukristo na bibilia zenu zinatoa ushahidi. Qur'an haiwezi kuongea ujinga huo.
 
Ngojea nikisha fika peponi takutumia experiment nilio fanya.

Nasikia wakanisa wanawasubiri hao mabikira 10 huko peponi.

Mathayo 25:1-4: “Ndipo ufalme wa mbinguni utafanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi

afu mlivyo wajinga mkatunga hadith fake eti waislam wanawakimbilia mabikra 72 wakati kwenye Uislam hakuna kitu hicho. Huo ujinga upo kwebne Ukristo na bibilia zenu zinatoa ushahidi. Qur'an haiwezi kuongea ujinga huo.
Sisi mbingu kwetu hatuoi, hatuchakati mabikra 72 na hatunywi pombe.
 
Kuna mwaka kombe la dunia litachezwa hapo. Wanywa pombe watataka wanywe kilevi hicho. Saudia itageuka kama nchi za magharibi tu, uislam unaenda kusinyaa katika nchi hiyo yenye utukufu wa kiislam
 
Kuna mwaka kombe la dunia litachezwa hapo. Wanywa pombe watataka wanywe kilevi hico. Saudia itageuka kama nchi za magharibi tu, uislam unaenda kusinyaa katika nchi hiyo yenye utukufu wa kiislam
Huyo MBS atafika mpaa huo mda sidhani tutakumbushana hapa
 
Kwa hio unaipiga bibilia yenu hahaha
Sisi hatuendi peponi, tunaenda mbinguni ( Yerusalem mpya).
Nyie baada ya kufa ndo mnaenda peponi ambako sifa zake ni tofauti na zile za kwetu mbinguni
 
Sisi hatuendi peponi, tunaenda mbinguni ( Yerusalem mpya).
Nyie baada ya kufa ndo mnaenda peponi ambako sifa zake ni tofauti na zile za kwetu mbinguni
Kumbe mbinguni kuna Jerusalem mpya na Netanyahu ndio kiongozi wao au hahaha
 
Back
Top Bottom