Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

Mamlaka za Saudia zimekanusha taarifa za Pombe kuruhusiwa kuanzia 2026 nchini humo

We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
😂😂😂😂 Uliionja wapi?
 
images (2).jpeg

Wale waislam convert wa kwa Mtogole watabaki na ujinga ila MBS aanafanya kile ambacho wao kama wenye dini wanaona ni sawa.
 
View attachment 3345416

Wale waislam convert wa kwa Mtogole watabaki na ujinga ila MBS aanafanya kile ambacho wao kama wenye dini wanaona ni sawa.
Ukanisa ni ujinga sana mmeisha zoweya kuwanakia ma bint wa kikristo kanisani mnadhani huyu MBS hata anaujua Uislam. Yeye kama anakubali family yake wajianike mwambie awanike mbona hata mke wake hataki watu wamuone 😆 😂
 
Wewe convert kamwe siyo muislam. Utawaje wewe muislam kuliko MBS. Mbele yake wewe ni nyani tu
 
Back
Top Bottom