Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Tukiwa haikwani huo muda ni mbali?
Tukiwa haikwani huo muda ni mbali?
Kwenda zako huko dudukweeUkristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.
Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Tulizana binti wacha kutuzulia uwongo sio kila unaye muona anajina la kislam basi ni Muislam.Kwenda zako huko dudukwee
Mla nguruwe kwa siri wewe
Mnajifanya wasafi kumbe wahuni wakubwa nyie
Wezi wazinzi matapeli walaghai wahuni mafisadi
Pombe ni pombe tu hakuna ya peponi au ya duniani acha kutupotosha hapa labda papuchi za wale mabikira 72 ndio zina tofauti na za hawa wa duniani maana zinafanya kazi masaa 24/7 bila kuchoka yaani we unajilia tu uku ukishushia kisungura cha peponi kutoa uchovuWe kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
Kama haina ulevi hiyo sio pombe Sasa labda useme juice.We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
Hakuna kitu kinachoitwa Laana wewe!! ni stori za wazee wa zamani kuwapumbaza watu ilikuwatia ujinga ili iwe rahisi kuwatawala sasa na wewe unasombwa tu na ujinga huo pasipo kutumia akili wapi umewahi kushuudia laana kama sio kusikia kwa waswahili wasio enda shule huko mtaani, acha jamaa aruhusu bapa na visungura huko watu wayaone maisha kwenye mwanga bora waache ugaidi na misimamo ya kijuha au ujui mitungi inafukuza majini. Akiruhusu kitimoto huko mnifahamishe niamie huko maana kombi itakuwa imebalanceHuyo jamaa lazima laana nzito itamkuta
Huyo ndiyo muanzilishi na mmiliki wa uislamu sasa wewe Mmatumbi umekaririshwa hayo mavitabu na ukageuzwa msukule mpaka ukaamini kuwa kitabu kimedondoshwa(kimeteremshwa) kutoka ‘mbinguni’ ambavyo mpaka kiteremshwe it explains that mbingu ni somewhere juu beyond the clouds. Kuamini huo upuuzi lazima uwe umejitoa ufahamu na bible at least huwa wanaeleza ukweli kuwa ni compilation ya vitabu vilivyoandikwa na watu ila longolongo zilizomo kwa kiasi kikubwa zinafanana pamoja na longolongo za Judaism. Doctrine zilizo na chimbuko la Middle East zinafanana lakini ukienda Far East unakutana ni beliefs tofauti kabisa hata sisi Afrika tulikuwa na imani zetu tofauti kabisa kabla ya kumezeshwa scriptures zenye chimbuko la Mashaki ya kati.Ukristo hata kanisani mnaozeshana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake afu mnajisifu mna dini.
Huyo si analindwa na USA kwanza yuko mbali na dini ya Kislam. Uislam na pombe wapi na wapi.
Dudukwee acha uongo wako hao nyumbu wenzako tunaishi nao mtaanTulizana binti wacha kutuzulia uwongo sio kila unaye muona anajina la kislam basi ni Muislam.
Wa kwanza huyo MBS ona anayo fanya sio Uislam kabisa.
Nani tena amekubandika huko mpaa udhani sote wazinzi pole sana.
Kwenye Qur'an hawakusema Pombe wameita Sharabu hapo inaweza kuwa juice au pombe. We sa uamuzi ni wako.Kama haina ulevi hiyo sio pombe Sasa labda useme juice.
Kwa hio wewe ukimuona.mtu mtaani anaitwa John wote mnakuwa John hahahahaDudukwee acha uongo wako hao nyumbu wenzako tunaishi nao mtaan
Tunawajua vzr wanafiki wakubwa
Sijuwi Waarab koko wa Zanzibar wana nini la kusema hapa, kama nawaona wanajipiga vidole huku wakilia. Uislam inanyima watu haki na uzuri huyu jamaa alishalijuwa hilo. Safi sana.
Hata huku Tz, mambo yanazidi kufunguka mkuu..🙂 🙂
View attachment 3344969
Hebu tuwekee Surah inasema Qur'an ili dondoshwa hahaha ukristo ni uwongo mtupu. Qur'an imesema imeshushwa na Mungu kwa njia Gabriel kwa Mtume Muhammad kwani Yesu na Mussa walipewa vipi vitabu na Daud au vyao vilidondoshwa..Huyo ndiyo muanzilishi na mmiliki wa uislamu sasa wewe Mmatumbi umekaririshwa hayo mavitabu na ukageuzwa msukule mpaka ukaamini kuwa kitabu kimedondoshwa(kimeteremshwa) kutoka ‘mbinguni’ ambavyo mpaka kiteremshwe it explains that mbingu ni somewhere juu beyond the clouds. Kuamini huo upuuzi lazima uwe umejitoa ufahamu na bible at least huwa wanaeleza ukweli kuwa ni compilation ya vitabu vilivyoandikwa na watu ila longolongo zilizomo kwa kiasi kikubwa zinafanana pamoja na longolongo za Judaism. Doctrine zilizo na chimbuko la Middle East zinafanana lakini ukienda Far East unakutana ni beliefs tofauti kabisa hata sisi Afrika tulikuwa na imani zetu tofauti kabisa kabla ya kumezeshwa scriptures zenye chimbuko la Mashaki ya kati.
Hizi habari za walevi ni walevi tu wanaziamini.
Una ushahidi wowote kuhusu haya maelezo yako? Vipi kuhusu bikira za peponi? Zina utofauti na hizi za duniani?We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
Safi sana, isiwe bia tu bali pia iruhusu uvutaji bangi hadharani na kula muda wowote kwenye mfungo wa ramadhan maana kule waarab wengi wanavuta bangi kwa kujificha na kufilana pia. 'Mamake, yaani kama nawaona wapuuzi wa Zanzibar wanajilipua na wengine wakijipiga vidole kwa hasira.