Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
We kenge kwa tarifa yako pombe ya peponi ni nzuri haina ulevi wala madhara wala chenye kukera. Kuhusu pombe ya duniani inayo madhara, ulevi na mambo yenye kukera. Hivyo ina maana kwamba pombe ya peponi haiondoshi akili, fahamu wala ndani yake hamna kitu kinachodhuru mwili. Kuhusu pombe ya duniani inadhuru akili na mwili vyote viwili. Madhara yote yanayopatikana katika pombe ya duniani hayapatikani katika pombe ya peponi.
We kilaza nguruwe pombe haiwezi kukosa kilevi. Kama haina kilevi wangesema sharubati mbwa wewe. Huwezi sema pombe haina kilevi. Huwa hamna akili nyie pepo wewe