Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Waliokalia hii wizara moyo wa nchi wako wapi hatuwaoni wakihangaika na migogoro iliyosheheni wizara hii bali tunaanza kuona rejuvination ya viongozi wakiandamana na wale watu waliojitokeza awamu ya nne na kujitwalia maeneo makubwa makubwa bila kujali wanyonge waganga njaa.
Kwa awamu ya sita sishangai kuona yale yale yanajirudia. Awamu ya sita kuna mambo lazima tuwe macho nayo. Yakiwemo haya ya ardhi, hasa ardhi ya kiuwekezaji yakiwemo kilimo, vitalu vya uwindaji, nk tuliona mengi awamu ya nne na sasa tunaanza kuyaona tena.
Kuweka mambo sawa kwa manufaa ya nchi kiongozi wa hili eneo hawezi kuepuka kupambana site akitatua migogoro, ama kukemewa na wakubwa zake kuhusu kutolewa ardhi kwa wawekezaji. Haya hatuyaoni na mawaziri wa ardhi wamekula chimbo kama hawaongozi ardhi.
Tulimuona Lukuvi akiwa site muda wote na tulisikia akikumbushwa kutoa ardhi kwa waeekezaji nami naamini ni kwa sababu aliiongoza hii wizara kwa uzarendo na wivu mkubwa.
Nashauri mzee wetu arudi huko anakokuweza badala ya kusoma magazeti ikulu na sauti za wengi zitapata faraja.