Sakhalala
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 574
- 445
Lu
Lukuvi yuko wapi kwanza. Ni ukweli usiopingika kuwa yule ni jumbo. Ardhi aliiweza na baada ya kuondoka madudu yamerudi pale pale. Mama tunaomba mrudishe Lukuvi ardhi.Yule jamaa ni presidential material na dada hataki wa hivyo maana anajua watampoka nafasi..😀