Mungu hapendi maskini. Ukiwa maskini tu hata mungu anakuona huna akiri
Mungu anachukia UMASKINI bt anawapenda MASKINI.
Umaskini ni PEPO, linavamia mtu,ukoo au Taifa na wanakuwa ktk Hali hiyo.
Matajiri wengi HUIBA NYOTA ya utajiri Kwa mtu mwenye KIBALI na kulitumia kujitajirisha binafsi, Utajiri BANDIA wa namna hii hutoa SHETANI.
Mungu huwainua maskini Toka chini kabisa Kutoka mavumbini na kuwaketisha juu pamoja na wafalme sababu ANAWAPENDA MASKINI Kwa sababu wamesababishiwa umaskini na IBILISI. Utaona viongozi wengi wametokea familia za kimaskini.
Ni hatari sana KUJILIMBIKIZIA utajiri mkubwa na ukashindwa kuwainua maskini walokuzunguka maana AMANI,FURAHA,USINGIZI vitaondolewa kwako Ili usiufurahie utajiri BANDIA. Amen
Illusion. Unajaribu kujifariji eti. Mungu hayupo ndugu
Biblia inasema, "MPUMBAVU amesema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU."
Usijedhani mtu kuwa TAJIRI, msomi Kwa level ya Professor, Kiongozi mkubwa mahal Fulani kwamba ndo haezi kuwa MPUMBAVU.
Upo duniani uzao waIbilisi uliojichanganya na uzao wa mwanadamu, hao ndio YESU aliwaita UZAO WA NYOKA, watu wa aina hiyo hata ukeshe ukimuelewesha uwepo wa Mungu hatokuelewa maana wametokea KUZIMUNI Kwa baba Yao SHETANI.