Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

Lu
Yule jamaa ni presidential material na dada hataki wa hivyo maana anajua watampoka nafasi..πŸ˜€
Lukuvi yuko wapi kwanza. Ni ukweli usiopingika kuwa yule ni jumbo. Ardhi aliiweza na baada ya kuondoka madudu yamerudi pale pale. Mama tunaomba mrudishe Lukuvi ardhi.
 
Pole Lukuvi, sahau kabisa kuridishwa baraza la mawaziri. Tunajuwa ulikuwa unapata uwaziri kwa kuwa snitch watu kwenye mamlaka zilizokupa nafasi kutokana na tabia yako ya unafiki.

Hata wanafiki wanazeeka, Lukuvi umezeeka hutakiwi tena

Shetani akizeeka hawezi kuwa malaika hata siku moja [emoji23][emoji23]
 
Ukweli unaonekana ni kwamba Lukuvi alijitahidi kufanya kazi kutokana na mamlaka yake ya uteuzi ilibyotaka mambo ya ardhi yaende.

Katika kipindi chake ndio hati zilitoka zaidi na kwa uwazi bila rushwa. Wizara hiyo alipitaga Rita mlaki akajitwalia viwanja kibao ikiwemo kile mwanae anajenga KFC hapo mbezi kwa zena.
 
Sasa hao wakiambiwa katiba mpya hawatak which is which???
 
Huyu ambaye mnasema mdini mwanaye wa kike kaolewa na mwarabu mvaa kanzu na jambia mtoto wa Shabib

Mtoto ana maamuzi yake na upendo hauna dini Labda tu kama umefuata mali

Kila binadamu ana tabia zake na huyo mzee sio mdini tu bali anachukia Uislam sana

Wewe clip ya kanisani unajitoaje ufahamu kuwa ule ulikuwa sio chuki dhahiri
Halafu alivyo mbaya akaamuwa kurekodiwa kabisa kufikisha ujumbe

Na Rais akaridhia ianikwe na wote waione
Nimesema Rais kwa sababu ndie aliempa ajira na ni kiongozi wa wote

Na yeye kwa unafiki baada ya hayo akatumwa kwenda Oman akavaa na kanzu kabisa
Nani aliemwambia ukienda uarabuni lazima uvae Kanzu kama sio unafiki?
Alienda kuomba kwa wale wale aliokuwa anawatukana
Ila hawakumtimua badala yake wakampokea na A Makinda kama sikosei
Sorry kama hukuliona hilo
 
Huyo naibu ni kibaka wa ardhi na tamaa zimemjaa pomoni yani hata umpe mkoa wa dsm bado atataka kuiba viwanja vya mita 20.
 
Sio Lukuvi tu mama tuna muomba aturudishie na Mchengerwa pale utumishi
 
Huyu mama ana viwanja km vyote mbezi beach...hii inchi imepitia mambo mengi sana
 
Mlishaambiwa kila zama na kitabu chake
Kwenye huu utawala yaani baadhi ya mambo yatarudi tu,yale ambayo JPM alikua hayataki.Wahuni watanyanyasa sana wanyonge,ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…