hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Ukiangalia the way huu mradi unavyoenda hasa kwenye kutoa huduma utagundua kuwa waafrica bila kusimamiwa na wazungu ni ngumu sana kujisimamia wenyewe.
Nimetoka hapo kituo cha kivukoni now, abiria ni wengi sana, folen imezunguka kama mara tatu au 4.
Ila cha ajabu hakuna magari yanayopakia, na kuna mengine yamepaki tu pembeni na mengine yanakuja na kushusha na kuondoka bila hata abiria.
Sasa ukiwa za tu kwa akili ndogo unashangaa the way mradi upo na mabasi mengi, lakini wakati huo huo abiria kuhudumiwa kwa wakati ni tatizo.
Mpaka watu wajae kama wanaandamana.
Mimi nadhan ni bora huu mradi akapewa mtu binafsi tu.