Mabibi na mabwana kwa vyama vilivyo na msukumo wa haki kama msingi wake mkuu, ni vyama vya kudumu na huendelea kuimarika kadri siku zinavyopita.
Vyama vya namna hii haviwezi kuhujumiwa kwa kuwekeza mamluki au hata kwa kununua watu.
Hakuna athari yoyote kwa vyama kama hivi kwa mamluki kuondoka.
Ukweli mchungu, vyama mahiri kama kilivyo Chadema havimtegemei mtu yeyote kwa ubinafsi wake. Si Nyalandu, Lowassa, Slaa, Sumaye wala Mbowe au yeyote anayeweza kudhani yu zaidi ya chama.
Chadema ni kubwa mno kuifungamanisha na mtu yeyote.
Salama na Chadema ni katika kuwapa watu haki zao zikiwamo usawa na uwapo wa katiba muafaka.
Hazipo nyimbo za sayuni za kuimba Chadema. Kama mtu kaja Chadema kufuata nyimbo za Sayuni labda afikirie zaidi kuonana na askofu Rashid.
Nenda Nyalandu nenda hata ukumbukwe kwa lipi?