Mamluki kuondoka CHADEMA, hakuna athari yoyote kwa chama

Mwenyezi Mungu anatupigania sana tu kwa sababu chadema imo mioyoni mwa Watanzania. Ukilinganisha na maccm imo mioyoni mwa wahuni, majizi, mafisadi, wasijojulikana na wauaji.
Cdm tulianza na Mungu na tunaendelea na Mungu.
 
Wapi mimi nilim support Membe?

Mimi nimekishutumu CHADEMA kwamba kinakubali sana viongozi mamluki.

Ukaja kusema hata Membe kagombea kwangu.

Sasa nakuuliza unamhusishaje Membe na mimi, unaniambia Membe ni Mtanzania.

Wewe una utapiamlo maalum wa akili au huu ni ujinga wa kawaida tu?

Pole sana kwa kushindwa kuelewa yote niliyoandika na kwa nia njema.

Kushindwa kuelewana ni jambo la kawaida. Hilo hutokea hata kwa watoto mapacha. Sembuse mimi na wewe Neema?

Sina taabu na Membe, CCM, Chadema wala mtu awaye yote. Hapendwi mtu!

Misingi iko wazi haki, uhuru na maendeleo katiba mpya ni moja ya mahitaji hayo.

Hata Jiwe, Membe, Jobo, Bashiri, Katelefoni, chakubanga na wote siku wakiokoka wakajikuta wanaongea lugha hii inayoeleweka mno, hao ni wetu.

Kama ni chama basi ni kwetu kama ilivyo kwao. Hizi ni lugha za kistaarabu zaidi. Haijalishi mkuu bila shaka hata kudemka ulimsikia mama kwa mara ya kwanza.

Permanent ni sera jombi si mtu wala chama!

Kwa hili kudos Chadema ndiyo maana itavuka dhoruba zote mithili ya JF ambavyo haitaishiwa nyuzi kutokana na kuwa watoa mada hawahamasishwi kwa malipo.

Nakazia: "na huo ndiyo msingi wa hoja - mamluki kuondoka, hakuna athari yoyote kwa Chadema."

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Athari ipo sana tu. Ndio maana mna mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
 
Inakuaje vyama vya upinzani hasa Chadema wanajibebea mizoga ya CCM na kuipa vyeo? inavunja moyo kwa kweli
 
That's gotta be some helluva hazy hallucinogen you are on.

English is a mere language like that spoken by the Maasai.

Sadly as it is, it adds no value whatsoever to any individual on earth.

😂😂😂😂😂😂

Hiiiiii bagosha!
 
But yet, you wrote in English.

What a bag of bunkum and balderdash!
 
But yet, you wrote in English.

What a bag of bunkum and balderdash!

Not only, but I ended up with a very much of a renowned phrase of which I use it again,

"Hiiiiii bagosha!"

Without an insult or elements of senselessness.
 
Mabibi na mabwana kwa vyama vilivyo na msukumo wa haki kama msingi wake mkuu, ni vyama vya kudumu na huendelea kuimarika kadri siku zinavyopita.

Vyama vya namna hii haviwezi kuhujumiwa kwa kuwekeza mamluki au hata kwa kununua watu.

Hakuna athari yoyote kwa vyama kama hivi kwa mamluki kuondoka.

Ukweli mchungu, vyama mahiri kama kilivyo Chadema havimtegemei mtu yeyote kwa ubinafsi wake. Si Nyalandu, Lowassa, Slaa, Sumaye wala Mbowe au yeyote anayeweza kudhani yu zaidi ya chama.

Chadema ni kubwa mno kuifungamanisha na mtu yeyote.

Salama na Chadema ni katika kuwapa watu haki zao zikiwamo usawa na uwapo wa katiba muafaka.

Hazipo nyimbo za sayuni za kuimba Chadema. Kama mtu kaja Chadema kufuata nyimbo za Sayuni labda afikirie zaidi kuonana na askofu Rashid.

Nenda Nyalandu nenda hata ukumbukwe kwa lipi?
Mwambie mbowe aache udikteta, hii sio enzi za uflame, kwa nini hataki kuachia uenyekiti?
 
Mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Nyalandu amesaidia sana kuijenga CDM kanda ya kati yatupasa kulinda kazi kubwa aliyoifanya huyu mtu katika kipindi kifupi alichokaa CDM. Tulifahamu tangu mwanzo kuwa alikuja kutafuta Uraisi lakini ameongeza thamani sana tangu aje na cdm tunapaswa kuenzi kazi yake. Ameondoka bila kunyea kambi kama ambavyo wengine hufanya na wala hajaibomoa kwa kuondoka na makundi. Tujenge chama tuachane na hawa wa kupita.
 
Inafahamika kuwa Mbowe alikuwa mwiba mchungu mno kwa CCM awamu ya tano.

Kwa maneno rahisi ni kuwa awamu ya tano ilidhamiria sana kuona Mbowe anazinguliwa kwa kutumia mbinu zozote.

Mbowe azinguliwe na wanachadema kwa lipi kama yeye hajawazingua?

Hiiiiii bagosha!
 
Kuwa mwanachama wa chadema ni sawa na kucheza kamari
Wanachama wengi ni sisi wa mitandaoni tuliopo busy nyuma ya keyboard. Hatutoi michango, yakiitishwa maandamano hatutoki na tunachojua ni kulalamika tuuu

Insanity is doing the same thing over and over again while expecting different results..
 
Mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Nyalandu amesaidia sana kuijenga CDM kanda ya kati yatupasa kulinda kazi kubwa aliyoifanya huyu mtu katika kipindi kifupi alichokaa CDM. Tulifahamu tangu mwanzo kuwa alikuja kutafuta Uraisi lakini ameongeza thamani sana tangu aje na cdm tunapaswa kuenzi kazi yake. Ameondoka bila kunyea kambi kama ambavyo wengine hufanya na wala hajaibomoa kwa kuondoka na makundi. Tujenge chama tuachane na hawa wa kupita.

Nakazia:

"CCM wanafurahi huyu bwana kaondoka Chadema wala si kwa sababu kajiunga CCM."

"Chadema wanafurahi kaondoka kwao kwa vile pakacha limevuja."

Ya kwamba kote ni burudani.

Kulikoni?!

Hiiiiii bagosha!
 
Wanachama wengi ni sisi wa mitandaoni tuliopo busy nyuma ya keyboard. Hatutoi michango, yakiitishwa maandamano hatutoki na tunachojua ni kulalamika tuuu

Insanity is doing the same thing over and over again wgile expecting different results..

Ukisema tuko busy nyuma ya keyboard hatutoi michango wala kupotoka maandamano hatuitiki. Kuwa tunachojua ni kulalamika tu itakuwa ni kutowatendea haki wanachama waaminifu wasiohitaji malipo wala recognition kwa michango yao.

Para ushahidi huu usio na chembe ya shaka:

"Unaowasema kwa yote hayo hasi ndiyo walio changa mamilioni ya pesa ndani ya muda mfupi kuwatoa wakiwamo Mashinji, Matiko, mzee Mdee na wenzao Segerea kwa kasi uliyoiona achilia mbali yule mwenzetu wa juzi."

Kwamba chakula kuiva ni hadi maji yachemke vilivyo? Huo si ndiyo ulio uelekeo wa mapambano matukufu ya ukimbozi?

Wako wapi akina jiwe, bashiri na kina chakubanga?

Tunayo sababu ya kukata tamaa kweli na kwa sababu zipi?

Aaah wapi.

Aluta continua!
 
CHADEMA haijengeki kwa sababu wimbo wa Bwana haumbiki huko !
Mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Nyalandu amesaidia sana kuijenga CDM kanda ya kati yatupasa kulinda kazi kubwa aliyoifanya huyu mtu katika kipindi kifupi alichokaa CDM. Tulifahamu tangu mwanzo kuwa alikuja kutafuta Uraisi lakini ameongeza thamani sana tangu aje na cdm tunapaswa kuenzi kazi yake. Ameondoka bila kunyea kambi kama ambavyo wengine hufanya na wala hajaibomoa kwa kuondoka na makundi. Tujenge chama tuachane na hawa wa kupita.
 
Mabibi na mabwana kwa vyama vilivyo na msukumo wa haki kama msingi wake mkuu, ni vyama vya kudumu na huendelea kuimarika kadri siku zinavyopita.

Vyama vya namna hii haviwezi kuhujumiwa kwa kuwekeza mamluki au hata kwa kununua watu.

Hakuna athari yoyote kwa vyama kama hivi kwa mamluki kuondoka.

Ukweli mchungu, vyama mahiri kama kilivyo Chadema havimtegemei mtu yeyote kwa ubinafsi wake. Si Nyalandu, Lowassa, Slaa, Sumaye wala Mbowe au yeyote anayeweza kudhani yu zaidi ya chama.

View attachment 1771118

Chadema ni kubwa mno kuifungamanisha na mtu yeyote.

Salama na Chadema ni katika kuwapa watu haki zao zikiwamo usawa na uwapo wa katiba muafaka.

Hazipo nyimbo za sayuni za kuimba Chadema. Kama mtu kaja Chadema kufuata nyimbo za Sayuni labda afikirie zaidi kuonana na askofu Rashid.

Nenda Nyalandu nenda hata ukumbukwe kwa lipi?
Hakika
 
Back
Top Bottom