Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let me count the heads.
Shibuda, in and out
Lowassa, in and out
Sumaye, in and out
Mwiru, in and out
Nyalandu, in and out
Who else?
When will CHADEMA learn?
Hakuna safari fupi katika siasa, lakini jihadhari usiwe unapiga hatua moja mbele na mbili nyuma.
Kama sio 'Covid' Nyalandu asingerejea CCM
Na wanaojitapa kuiua CHADEMA Wanakufa wao.Cdm tulianza na Mungu na tunaendelea na Mungu.
one man downNa wanaojitapa kuiua CHADEMA Wanakufa wao.
Mama D, nilitaka kukupongeza kwa maneno hayo, lakini baada ya tafakuri ndogo nikasita.Kuwa mwanachama wa chadema ni sawa na kucheza kamari
Kipi kwa mfano?Kufa hamfi ila cha moto mnakiona.......
Sawa mkuu, lkn Maumivu hayakosekani
Mamluki ukimpa cheo na passwords ananyonya siri zote za chama anaondoka nazo.
Wewe unabaki kujiliwaza hakuna athari yoyote kwa chama mamluki akiondoka.
Na una maana nzito zaidi ya kuondoka Mwebazake. Maana yenyewe inawahusu hao wote kwenye orodha hiyo. Inaeleza ni watu wa aina gani.Ujumbe huu ni kwa mtu mwenye uelewa tu anaweza kuupata.
Umelewa piwa. CHADEMA ni imara na haitegemei dola na wizi kushinda uchaguzi.Chadema ilijifiaga hapa
Chama ni cha viongozi wala sio cha wananchi na hao viongozi ni wa kujiuza kwa mafisadi tuu mradi wabaki madarakani
View attachment 1768974
AaaH, sikujua wewe ni mtu wa CHADEMA.Tatizo ni kama una siri za kuficha mfano kama unalea magenge ya wasiojulikana, wasukuma, wanachato nk.
Unataka haki sawa, maendeleo ya watu, katiba mpya na ya namna hiyo. Mamluki na apeleke taarifa hizo hayo ndiyo tunataka hatuna ya kuficha.
Habari ndiyo hiyo Mkuu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kila chama cha kisiasa cha kitaifa kinatakiwa kuwa na nyaraka na mbinu za siri ambazo hazitakiwi kujulikana na wapinzani wake.Tatizo ni kama una siri za kuficha mfano kama unalea magenge ya wasiojulikana, wasukuma, wanachato nk.
Unataka haki sawa, maendeleo ya watu, katiba mpya na ya namna hiyo. Mamluki na apeleke taarifa hizo hayo ndiyo tunataka hatuna ya kuficha.
Habari ndiyo hiyo Mkuu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Siasa za Tanzania zimejaa wasaka fursa.Let me count the heads.
Shibuda, in and out
Lowassa, in and out
Sumaye, in and out
Mwiru, in and out
Nyalandu, in and out
Who else?
When will CHADEMA learn?
Hawa wengine wamepewa uongozi mpaka nafasi ya kugombea urais, si uanachama tu.Siasa za Tanzania zimejaa wasaka fursa.
Lakini CHADEMA kama chama cha siasa hakipaswi kukataa wanachama kutoka chama kingine badala yake kinapaswa kuwa makini sana nao.