Mamluki kuondoka CHADEMA, hakuna athari yoyote kwa chama

Mamluki kuondoka CHADEMA, hakuna athari yoyote kwa chama

Let me count the heads.

Shibuda, in and out
Lowassa, in and out
Sumaye, in and out
Mwiru, in and out
Nyalandu, in and out

Who else?

When will CHADEMA learn?
Wema Sepetu doesn’t count?

I’m very disappointed by CHADEMA, though.

There was a time I had very high hopes with them.

Kuna kitu katika uongozi wake hakiko sawa na kinahitaji kurekebishwa.

Maana, ukiacha hawa waliohama CCM kwenda CHADEMA halafu kurudi tena CCM, CHADEMA pia imepoteza viongozi wake kadhaa walio [au waliokuwa] na high profile kitaifa;

Dr. Slaa
Kitila Mkumbo
Zitto Kabwe
Dr. Mashinji

Kwa nini?

Pata picha kama hao wote leo hii wangekuwa bado ni wanachama wake…

Upinzani Tanzania bado sana aisee.

It is very possible that we will never see it take power in our lifetime…
 
Raha ya ndoa za zamani ilikuwa ni fahari, kwa mwanaume kuoa mwanamke bikira, lakini siku hizi unaweza kuazima hata mke wa jirani yako. Akirudi kwa mume wake unasema hata hivyo alikuwa hajui kupika vizuri, alafu unaanza upya,
IMG_20210420_034518.jpg
kushinda mahakamani kunyemelea wengine walioachika.
 
Chogolo na Shaka anzeni kazi mapema ya kupiga spana mpaka Nyumbu waombe poo.
Mama kasema baada ya Nyarandu kuna wengine watafatia.
1.Nyarandu.
2.Mathew
3.,,,,
4.,,,,
5.,,,,
Na wengine wengi.
Nguruwe wa Lumumba mnahangaika sana,sasa moto unawawakia wenyewe ndani kwa ndani. Kwa wenye akili kisoda hamlioni kwa sasa. Badala ya kujikita kutimiza ahadi zenu mnazungumzia kupokea wapinzani uchwara.
 
Mamluki ukimpa cheo na passwords ananyonya siri zote za chama anaondoka nazo.

Wewe unabaki kujiliwaza hakuna athari yoyote kwa chama mamluki akiondoka.
Hao wakimbizi tuliishi nao kwa tahadhari, kuondoka kwao hakuna madhara.
 
Kamanda: unajiliwaza, unajijaza kisabuni. It is not at all as simple as you are trying to make us believe. This is a terrible blow by any standards and you know it. Anybody with even a remote chance of going back to CCM will go, after tubdulissu had broken all protocols and all sorts of norms. Waliobaki kutaka kurudi ni wale ambao wanajua hawatapokelewa bila hata ya kutaja majina tunawajua, walijiharibia wenyewe.

Nijiliwaze au njikaze kisabuni kwa lipi?

Huwaoni wanaojiliwaza na kujikaza kisabuni? Hao ni kina bashiri, pole pole, katelefoni, yule kibaka wa mbeya na wenzao.

Wengine kwenye list hiyo ni wale waliounga mkono juhudi na sasa bila shaka watu kama Nyalandu and probably including yourself.

Chadema is prepared to lose anyone including all heavy weights you may think of.

By the way who is Nyalandu?

Is it difficult to be fair to yourself to realize the hard truth that this chap was and is nobody in Chadema?

Hiiiiii bagosha, kwamba kuna pakacha linavuja na inazidi kuwa nafuu kwa mchukuzi haliwezi kuwa tatizo kwa Chadema bali kwenu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mtu kama Lowassa umempa chama chote mpaka nafasi ya kugombea urais umempa.

Huyo umeishi naye kwa tahadhari kivipi?

Watu wanaishi na mabomu ya nuclear yanayoweza kuifuta dunia yote kwa tahadhari, sembuse Lowassa?

Membe hakutaka kugombea urais kwenu? Hakuwa waziri wa mambo ya nje? Hakuwa mtumishi mbobezi ikulu miaka nenda rudi? Hakuwa kachero mbobezi?

Membe hakutaka kugombea urais kwenu?

Kwani alikuwa na madhara yoyote hata huko chama mboga mboga? Sembuse huyu kibaka aliyepora hadi tembo na uzito wake?
 
Chama bila watu kitabaki kuwa chama?

Labda kama ulimaanisha - "Nyalandu" = "watu."

Kama ni hivyo sasa uangalie usomi wako kama ni sahihi:

"Chama bila Nyalandu kitabaki kuwa chama?"

Hiiiiii bagosha, hivi pamoja na 40 kwisha bado kuanua tanga?
 
Watu wanaishi na mabomu ya nuclear yanayoweza kuifuta dunia yote kwa tahadhari, sembuse Lowassa?

Membe hakutaka kugombea urais kwenu? Hakuwa waziri wa mambo ya nje? Hakuwa mtumishi mbobezi ikulu miaka nenda rudi? Hakuwa kachero mbobezi?

Membe hakutaka kugombea urais kwenu?

Kwani alikuwa na madhara yoyote hata huko chama mboga mboga? Sembuse huyu kibaka aliyepora hadi tembo na uzito wake?
Membe hakutaka kugombea urais kwetu, kwetu wapi?
 
Wafuasi wa chadema wana uwezo mdogo

Hii ni tungo tata jombi. Uwezo?

1. Kuchakata papuchi
2. Kuchakatwa papuchi
3. Kukwiba uchaguzi
4. Kuuwa wapinzani
5. Nk nk

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Membe hakutaka kugombea urais kwetu, kwetu wapi?

Mkuu usikonde. Kote kwetu. Mbona mama akimla kichwa katelefoni akasikiliza vilio vya haki tukafika kwenye katiba mpya ataramba hata 2x5x5 tena?

Nakazia: usikonde mkuu, kote kwetu. Kwetu CCM. Huko ndiko Mbobezi alikokuwa kujipanga kufanya vitu vyake.

Upinzani si ugomvi wala si vita. Tujenge nchi kwa haki. Hapa kwetu sote hayupo mwenye hati miliki bora kuliko wengine.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mkuu usikonde. Kote kwetu. Mbona mama akimla kichwa katelefoni akasikiliza vilio vya haki tukafika kwenye katiba mpya ataramba hata 2x5x5 tena?

Nakazia: usikonde mkuu, kote kwetu. Kwetu CCM. Huko ndiko Mbobezi alikokuwa kujipanga kufanya vitu vyake.

Upinzani si ugomvi wala si vita. Tujenge nchi kwa haki. Hapa kwetu sote hayupo mwenye hati miliki bora kuliko wengine.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Hujanijibu swali langu.

Membe hakutaka kugombea urais kwetu, kwetu wapi?

Na umejuaje huko kwetu?
 
Hujanijibu swali langu.

Membe hakutaka kugombea urais kwetu, kwetu wapi?

Na umejuaje huko kwetu?

Nimejibu swali kikamilifu. Kote kwetu kama ilivyo kote kwenu kwa sababu kote ni Tanzania.

Rejea kusoma kujiridhisha umejipa muda wa tafakuri.
 
Hoja yangu ni kuhusu hawa covid 19. Hawa wamama na madada kweli wameukubali ubunge bila taratibu za kisheria kwa mujibu wa KATIBA, lakini wakati wanaukubali ubunge bado walikuwa wajihesabu kuwa ni wanachadema. Wamelaghaiwa, wametishwa, wamekusanywa kwa spidi kali sana kiasi kwamba hawa kuwa na muda wa kutafarika hatima ya jambo wanalolifanya. Kama CCM pamoja na ukubwa wake inawapokea kwa furaha na mbwembwe waliojiondoa CCM bila presure na kurudi Chapman, hivyo ni vyema CHADEMA kulishugulikia suala la hawa Covid 19 kwa busara kubwa kutokana na wakati na mazingira yake.
 
Nimejibu swali kikamilifu. Kote kwetu kama ilivyo kote kwenu kwa sababu kote ni Tanzania.

Rejea kusoma kujiridhisha umejipa muda wa tafakuri.
Umenilazimisha kuninasibisha na Membe kama vile mimi nimekwambia ni mtu wa Membe.

Huna hoja, unaleta viroja.
 
Umenilazimisha kuninasibisha na Membe kama vile mimi nimekwambia ni mtu wa Membe.

Huna hoja, unaleta viroja.

Membe ni mtanzania kama alivyokuwa jiwe.

Hapendwi mtu huo ndiyo ustaarabu.

CCM, Chadema, TLP, CUF nk vyote ni vyama tu. Waungwana tunahitaji sera chanya.

Hata kama akija Jiwe akinadi haki, uhuru na maendeleo vitakavyotupa katiba muafaka, huyo ni mtu wetu kweri kweri bila kujali alipo.

Akitokea Messiah ana nadi dhuluma, utumwa, nk kama Mungu wa awamu ile, huyo tunamzingua tu bila ya kuangalia makunyanzi.

Huo ndiyo ulio msingi wa mada hii iliyopo mkononi.

Nothing more and nothing less.
 
Wapi mimi nilim support Membe?

Mimi nimekishutumu CHADEMA kwamba kinakubali sana viongozi mamluki.

Ukaja kusema hata Membe kagombea kwangu.

Sasa nakuuliza unamhusishaje Membe na mimi, unaniambia Membe ni Mtanzania.

Wewe una utapiamlo maalum wa akili au huu ni ujinga wa kawaida tu?
 
Mkuu Chadema unaijua au unaisikia tu? Chadema si kichaka cha kujitafutia fursa au riziki za maisha binafsi. Chadema wanachama wako bound na imani zilizo wazi.

You are either in or out. You can't be in between.

Kwa kawaida Chadema mtu hujifukuza mwenyewe anapojikuta ni unfit. Chadema haitegemei personality binafsi za watu.

Awe Mbowe, Lissu au yeyote akizingua, anazinguliwa. Sembuse Dr. Slaa, Dr. Mashinji, Prof. Kitila au Zitto?

Ndiyo maana Chadema haiwezi kutetereka kama ilivyokuwa kwa CUF, NCCR au chama kingine chochote kwa kuondokewa na yeyote aliyekuwa mwanachama wao au vinginevyo.

Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa wale wa chama mboga mboga kama wewe wenye kuichulia Chadema mabaya kila uchao.

Waheshimiwa wote wanaoipigania Chadema katika nyanja zote ni wakereketwa wa kujitolea. Huku hakuna buku 7 za akina Bashiri na pole pole.

Kwamba CCM sasa mnaisikitikia Chadema kiasi cha kuipa ushauri wa namna ya kujipanga ili kuchukua nchi? Thubutu!

Wajameni hivi hayo mapenzi niue kwani yameanza lini?

Hiiiiii bagosha, hata ikungu lya bashashi kwenye hili, watakuwa wanakuangalia nyani Ngabu na kujisemea Hiiiiii!

Habari ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom