mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Msiumize Sana vichwa sababu ya SIASA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kweliiiii na Ndio maana walinunuliwa na fisadipapa🤣😃
Uzike Chadema kwa kuondoka Nyalandu ?Teh!😅,angekuwepo JPM mngesema wananunuliwa.Nafikiri kifo cha JPM kimeondoka agenda zote mfu za upinzani,kilichobaki ni kukizika kabisa hiki chama.
Wewe unavyoona kuna uhai tena ndani ya chadema?mdharau meiba mguu huota tende,subilini majibu yake.Uzike Chadema kwa kuondoka Nyalandu ?
hahahaaaa mnajifariji lakini roho zawaumaaaa
Huwa najiuliza sana, hii kitu inamaana hawaioni au hawafikirii kabisa??waokotaji poor them wanatumiwa na kuachwa solemba. Watu wamepigania chama miaka na miaka hawapewi hata ujumbe ndani mkoa ila mhamiaji anapita moja kwa moja hadi ngazi kuu na uenyekiti wa mkoa anaukwaa
Nyalandu ilikuwa inajulikana tangu mwanzo kuwa lazima atarudi CCMKipimo cha hoja ni kuwa tumekupa majina yote na Mbowe ndani. Chadema haifungaminishwi na mtu.
Sembuse Nyalandu? Wajameni tuna haja ya kutoa maelezo yoyote zaidi? Mbona hii kitu iko wazi mno?
Asiye amini katika haki, usawa na maendeleo, huyo si mwenzetu na aende zake tu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Bora ingekuwa mkoa, nyalandu alikuwa mwenyekiti wa Kanda ya katiwaokotaji poor them wanatumiwa na kuachwa solemba. Watu wamepigania chama miaka na miaka hawapewi hata ujumbe ndani mkoa ila mhamiaji anapita moja kwa moja hadi ngazi kuu na uenyekiti wa mkoa anaukwaa
Mbona akina Paulina, Silinde, Mollel, n.k ni ni mawaziri ina maana CCM haina watu? siasa ndiyo ilivyo.Huwa najiuliza sana, hii kitu inamaana hawaioni au hawafikirii kabisa??
Ila wanasiasa ni waongo waongo tu.
Mbona Bashiru alitoka CUF mpaka Katibu mkuu CCM?Bora ingekuwa mkoa, nyalandu alikuwa mwenyekiti wa Kanda ya kati
Kuna kitu kinaitwa tamaa.Chadema wajifunze kutokupokea makapi
Umenena.Msiumize Sana vichwa sababu ya SIASA
"Chadema ni kubwa mno kuifungamanisha na mtu yeyote"
Kuthibitisha hii sentensi ni labda baada ya miaka nenda rudi lakini si kwa sasa.