Mamluki kuondoka CHADEMA, hakuna athari yoyote kwa chama

Mamluki kuondoka CHADEMA, hakuna athari yoyote kwa chama

Sizitaki mbivu hizi ...

Hakuna mbivu hapo. Tutasema hivi hivi hata pale yeyote atakapomwaga manyanga. Hata kama ni Mbowe.

Tunaamini katika misingi si watu.

Chama hiki kitakuwa mwiba kwao milele.
 
Mbona unajishtukia. Kwani kuna mtu kasema kuna athari yeyote ile?

Miye ninakazia tu wala sijajishtukia kwa lolote.

Vipi mkuu mhandisi Mfugale anasema je. Siku hizi mnasemekana kujikita zaidi kwenye mabarabara na madaraja.

Huku kwenye marumbano ya hoja mmekuwa adimu sana.

Tanroads, poleni sana kwa msiba.
 
Hujui Chadema wewe. Hawa siyo vile vyama rafiki vya akina mana Tanzania, mzee wa kiraracha wala yule mzee msukuma.

Basi kweliiiii na Ndio maana walinunuliwa na fisadipapa🤣😃
 
Wanachama opportunists ni mzigo. Ni heri kutokuwa nao. Hao ni wanachama maslahi yao mbele.
Umenena yote
Hakuna hasara bali ni faida kwa chama
Chadema wajifunze kutokupokea makapi
Huu unaweza kuwa mwanzo wa mwisho kisiasa kwa bwana huyu
Waliobaki ccm wakati wa mwendazake ndio watakaomkosesha Amani Hii inaitwa matarajio yasiyokutana kwake mhamiaji
 
Wenye hiyo bendera ni zaidi ya mataahira

View attachment 1768985
Mataahira ni hawa hapa
20210416_081237.jpg
 
waokotaji poor them wanatumiwa na kuachwa solemba. Watu wamepigania chama miaka na miaka hawapewi hata ujumbe ndani mkoa ila mhamiaji anapita moja kwa moja hadi ngazi kuu na uenyekiti wa mkoa anaukwaa
Mkuu ili upewe nafasi chadema lazima uwe na hela.

Ila kuwa shabiki wa chadema ni stress sana aisee
 
Back
Top Bottom