Cdm tulianza na Mungu na tunaendelea na Mungu.
Wapi mimi nilim support Membe?
Mimi nimekishutumu CHADEMA kwamba kinakubali sana viongozi mamluki.
Ukaja kusema hata Membe kagombea kwangu.
Sasa nakuuliza unamhusishaje Membe na mimi, unaniambia Membe ni Mtanzania.
Wewe una utapiamlo maalum wa akili au huu ni ujinga wa kawaida tu?
Naona unanifananisha na mtu tofauti.
That's gotta be some helluva hazy hallucinogen you are on.Itoshe kukufahamisha kuwa: "usitake ncheke!"
That's gotta be some helluva hazy hallucinogen you are on.
But yet, you wrote in English.English is a mere language like that spoken by the Maasai.
Sadly as it is, it adds no value whatsoever to any individual on earth.
😂😂😂😂😂😂
Hiiiiii bagosha!
But yet, you wrote in English.
What a bag of bunkum and balderdash!
Mwambie mbowe aache udikteta, hii sio enzi za uflame, kwa nini hataki kuachia uenyekiti?Mabibi na mabwana kwa vyama vilivyo na msukumo wa haki kama msingi wake mkuu, ni vyama vya kudumu na huendelea kuimarika kadri siku zinavyopita.
Vyama vya namna hii haviwezi kuhujumiwa kwa kuwekeza mamluki au hata kwa kununua watu.
Hakuna athari yoyote kwa vyama kama hivi kwa mamluki kuondoka.
Ukweli mchungu, vyama mahiri kama kilivyo Chadema havimtegemei mtu yeyote kwa ubinafsi wake. Si Nyalandu, Lowassa, Slaa, Sumaye wala Mbowe au yeyote anayeweza kudhani yu zaidi ya chama.
Chadema ni kubwa mno kuifungamanisha na mtu yeyote.
Salama na Chadema ni katika kuwapa watu haki zao zikiwamo usawa na uwapo wa katiba muafaka.
Hazipo nyimbo za sayuni za kuimba Chadema. Kama mtu kaja Chadema kufuata nyimbo za Sayuni labda afikirie zaidi kuonana na askofu Rashid.
Nenda Nyalandu nenda hata ukumbukwe kwa lipi?
Mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Nyalandu amesaidia sana kuijenga CDM kanda ya kati yatupasa kulinda kazi kubwa aliyoifanya huyu mtu katika kipindi kifupi alichokaa CDM. Tulifahamu tangu mwanzo kuwa alikuja kutafuta Uraisi lakini ameongeza thamani sana tangu aje na cdm tunapaswa kuenzi kazi yake. Ameondoka bila kunyea kambi kama ambavyo wengine hufanya na wala hajaibomoa kwa kuondoka na makundi. Tujenge chama tuachane na hawa wa kupita.Mabibi na mabwana kwa vyama vilivyo na msukumo wa haki kama msingi wake mkuu, ni vyama vya kudumu na huendelea kuimarika kadri siku zinavyopita.
Vyama vya namna hii haviwezi kuhujumiwa kwa kuwekeza mamluki au hata kwa kununua watu.
Hakuna athari yoyote kwa vyama kama hivi kwa mamluki kuondoka.
Ukweli mchungu, vyama mahiri kama kilivyo Chadema havimtegemei mtu yeyote kwa ubinafsi wake. Si Nyalandu, Lowassa, Slaa, Sumaye wala Mbowe au yeyote anayeweza kudhani yu zaidi ya chama.
Chadema ni kubwa mno kuifungamanisha na mtu yeyote.
Salama na Chadema ni katika kuwapa watu haki zao zikiwamo usawa na uwapo wa katiba muafaka.
Hazipo nyimbo za sayuni za kuimba Chadema. Kama mtu kaja Chadema kufuata nyimbo za Sayuni labda afikirie zaidi kuonana na askofu Rashid.
Nenda Nyalandu nenda hata ukumbukwe kwa lipi?
Mwambie mbowe aache udikteta, hii sio enzi za uflame, kwa nini hataki kuachia uenyekiti?
Wanachama wengi ni sisi wa mitandaoni tuliopo busy nyuma ya keyboard. Hatutoi michango, yakiitishwa maandamano hatutoki na tunachojua ni kulalamika tuuuKuwa mwanachama wa chadema ni sawa na kucheza kamari
Mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Nyalandu amesaidia sana kuijenga CDM kanda ya kati yatupasa kulinda kazi kubwa aliyoifanya huyu mtu katika kipindi kifupi alichokaa CDM. Tulifahamu tangu mwanzo kuwa alikuja kutafuta Uraisi lakini ameongeza thamani sana tangu aje na cdm tunapaswa kuenzi kazi yake. Ameondoka bila kunyea kambi kama ambavyo wengine hufanya na wala hajaibomoa kwa kuondoka na makundi. Tujenge chama tuachane na hawa wa kupita.
Wanachama wengi ni sisi wa mitandaoni tuliopo busy nyuma ya keyboard. Hatutoi michango, yakiitishwa maandamano hatutoki na tunachojua ni kulalamika tuuu
Insanity is doing the same thing over and over again wgile expecting different results..
Mnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni. Nyalandu amesaidia sana kuijenga CDM kanda ya kati yatupasa kulinda kazi kubwa aliyoifanya huyu mtu katika kipindi kifupi alichokaa CDM. Tulifahamu tangu mwanzo kuwa alikuja kutafuta Uraisi lakini ameongeza thamani sana tangu aje na cdm tunapaswa kuenzi kazi yake. Ameondoka bila kunyea kambi kama ambavyo wengine hufanya na wala hajaibomoa kwa kuondoka na makundi. Tujenge chama tuachane na hawa wa kupita.
HakikaMabibi na mabwana kwa vyama vilivyo na msukumo wa haki kama msingi wake mkuu, ni vyama vya kudumu na huendelea kuimarika kadri siku zinavyopita.
Vyama vya namna hii haviwezi kuhujumiwa kwa kuwekeza mamluki au hata kwa kununua watu.
Hakuna athari yoyote kwa vyama kama hivi kwa mamluki kuondoka.
Ukweli mchungu, vyama mahiri kama kilivyo Chadema havimtegemei mtu yeyote kwa ubinafsi wake. Si Nyalandu, Lowassa, Slaa, Sumaye wala Mbowe au yeyote anayeweza kudhani yu zaidi ya chama.
View attachment 1771118