Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni katoto Sana,Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni.
Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo.
Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo please..!!! Lazima ni mrembo tu.
Proud of her.
Nwei tumpe muda.. hope atakuwa bora zaidi..Kazi yake kubwa... kipaji.
Is "sura nzuri" a concept? Beauty is personal![]()
Ndo huyo hapo. Anajitahidi Sana japo hakana sura nzuri ila kazi yake anaimudu vema.
Katamu unamaana kanalika?Katamu tu mbona... Poa ssna mkuu.
Shes on air now.. Top tweniiiAnatangaza kipindi gan
hahaahaaa...Katamu unamaana kanalika?
Nachelea kusema huyu Dada ni kati ya presenter Bora .... Bora saanaa kuwahi kutokea hapa karibuni.
Anatishaaa... Hakika Pengo la Fetty limezibika vilivyo.
Aliye na picha ya mtoto huyu mrembo please..!!! Lazima ni mrembo tu.
Proud of her.
acha wivu wewe!Katamu unamaana kanalika?
Picha ya nini tena? Hiyo 1 inatosha.tuma na picha yake mkuu.