mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mzee huko uliko tunakutaka!! Iwe CCM tunakutaka, iwe CDM tunakutaka! iwe CUF tunakutaka!! Inuka mzee, jitie nguvu!! Tunaikumbuka sera yako!! 1. Elimu 2. Elimu 3. Elimu!!Mzee kapumzika
Umenikumbusha 2015 baada ya tangazo kuwa ameshindwa. Palikuwa na utulivu fulani hivi baadhi ya maeneo.Mzee huko uliko tunakutaka!! Iwe CCM tunakutaka, iwe CDM tunakutaka! iwe CUF tunakutaka!! Inuka mzee, jitie nguvu!! Tunaikumbuka sera yako!! 1. Elimu 2. Elimu 3. Elimu!!
Ukitupia picha yake akichunga ng'ombe itakuwa ni picha pendwa ya mwaka!Juzi nilimuona Monduli akichunga ng'ombe zake huku akiwa ametupia kofia lake la cowboy
Vipaumbele vya Lowasa: 1. Elimu 2. Elimu 3. Elimu
Anfepewa nafasi huyu jamaa tungefika mbali sana!!
View attachment 2316017