Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

Bado nina imani na team yangu, sikatii tamaa Citizens ya UK.
[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Niko lele lelee, navojua kuwanyoosha Asenyeto fans huku.
Na nawaambia kabisaa, mwaka huu hawachukui chochote, sio EPL au UEFA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kubishana na nyie tunaongezana njaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…