Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

jamaa wako vizuri..kuweni wakweli..sioni namna gani Madrid anaweza msumbua city..Barcelona mwenyewe patachimbika
 
Nlkuwa nabishana na watu ,nkawaambia jamaa ss hv wako safi wakabisha
Wakafikia hatua wakasema hata Ubingwa bado sana
Nkaona hawa machizi
Mtu ana 70 na kitu
Anayemfata ana 50 na kitu useme hatakuwa bingwa
Binafsi nawakubali mnooo
Kwa EPL zilipo timu mbovu wacha awaburuze, ila Uefa akikutana na Madrid, Bayern mashindano anaaga vizuri tu. Naomba usiitaje Barcelona.
 
Kwa EPL zilipo timu mbovu wacha awaburuze, ila Uefa akikutana na Madrid, Bayern mashindano anaaga vizuri tu. Naomba usiitaje Barcelona.
Hahahahahah haya bwana ngoja nisiitaje,ila tuvute subira
 
Reactions: PNC
Nitatamani sana kuona Barca akipangiwa Man U UEFA.
 
jamaa wako vizuri..kuweni wakweli..sioni namna gani Madrid anaweza msumbua city..Barcelona mwenyewe patachimbika
Mkuu, ukweli upo hivi, EPL imeanguka sana, timu kubwa na tegemeo zimekuwa zipo ovyo sana. Man city kapata upenyo msimu huu kama alivopata upenyo Leceister city. Na ndio maana nkasema, tangu alivochukua kombe LCFC ligi ya uingereza imekuwa ipo ivyo. Usihadaike kwamba eti kafungwa mechi 2 tu kwenye ligi zote na anaongoza ligi kwa point 16 ndio ukaona eti ndio timu bora europe kwa sasa. Man city hajafikia hicho kiwango bado. Lyon alikuwa anawaongoza wenzake kwa point nyingi tu, Bayern nae ujerumani alikuwa akiwaongoza wenzake kwa point nyingi tu. lakini hazikuwa best teams in Europe.

Mkuu, Europe akikutana na huyo barcelona, ndio kaumia, na aombe asikutane na madrid mana ndio atadhalilishwa.

Man city mpira wa presha hauwezi kabisa. Beki zake ni mbovu mno, kisha unatwambia ni best team in Europe? Waulize liverpool walivoionesha dunia kuwa hawa jamaa wantandaza soka, lakini kama unaingia uwanjana kufanya attack tu, basi nyingi tu zinapenya golini mwa citeh!
 
Ukitumia kigezo cha udhaifu wa EPL ni kweli
Hata simba ndo timu bora duniani kwa sasa inafunga magori meeengi.
Pia kwa mtizamo huo, Simba ni kiwango cha Barcelona. Ndio moja ya timu pekèe na Barcelona hazijafungwa mpaka sasa.
 
Kaka man cit ni bora, fuatilia mpir kwanza kisha ndo ukoment
Nimekuwa mfuatiliaji wa mpira wa miguu kwa miaka isiyopungua 25. Man City ni bora kwenye ligi ya Rugby ya Uingereza. Asiombe kukutana na niliowataja: Barcelona, Real Madrid na Bayern Munich. Bado ni kinda sana katika soka ya Ulaya.
 
Média yenyewe ni y'a uingereza unategemea nn ?
 
Mpaka messi anasema kikwazo ni man city na psg, lakn bado watu hawaamini tu,
Shakta kishamtungua uefa ila kichaka cha kujifichia watasema alipita nani anapenda kufungwa?
Psg katia pesa ndefu toka 2011 lakin hata harufu ya fainali ya champions lig haijui mess ache kejeli kwenye timu wa waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…