Guys guys, Mpira wa kutandaza nafikiri unachezwa na almost every spanish team. Just kwa sababu anaongoza EPL kwa point 16 haimaanishi kuwa eti ndio team bora Europe nzima. Kwanza kuongoza kwake ligi akiwa na point nyingi sio jambo zuri when it comes to perfomance. Mimi ni EPL fan, lakini ninachokiona ni kuwa hii ligi imepoteza muelekeo tangu Leceister alivochukua kombe. Timu zimekuwa zina struggle kupindukia, na hii ikitokea, basi utakuta kuna timu inaibuka kidedea kiurahisi zaidi. Nnachoweza kusema kuwa, Man City ndio team Pekee ambayo inanafasi nzuri kuliko timu yoyote ya EPL kwa sasa kwenye Europe, lakini siwezi kusema kuwa eti ndio team bora Europe. Arsenal haikuwa team bora Europe na alimaliza msimu hakupoteza mechi ata moja.
When it comes to Man city and Uefa, bado atulie tu kwanza.