Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

Nonsense kabisa westbrom anakutoa jasho itakuwa Shaktar?
 
Shida ya Waingereza maneno mengi sana, ngoja tuone kwenye UEFA wanafika wapi
 
mimi ninazungumuzia hapo kwenye ukubwa wa kikosi,barca ana kikosi kikubwa tena chenye wachezaji wengi ambao ni wa kiwango cha juu kwa sasa kuliko club yoyote ile duniani.
 
Kuna mdau hapo juu ameitaja Liverpool yenye kikosi chembambaa! jamani mpira unachezwa na kikosi kipana chenye wachezaji wazuri wanaoweza kunyumbulishwa wakanyumbulika.
 
Naunga mkono kutokana na kiwango bora walichokionyesha,muunganiko wa timu japo kuwa mancity ni timu inayotumia fedha nyingi kuimarisha kikosi chake lakini watatudhihirishia hilo katika ligi ya mabingwa barani ulaya watakapo kutana na timu vigogo kama Barcelona,Real madrid,na Beyern munchen hapo tutasema bbc wako sahihi kwa hili.
 
Kabla sijamaliza kuisoma coment yake nikataka nimjibu, bahati nzuri umenisaidia kumjibu.
 
Mkuu atletigo gani iliyonyaswa na Chelsea makundi UEFA ikatoka au?
Atletico msimu huu ni kama walipanga watoke UEFA mapema waende Europa wakanyanyue kwapa maana UEFA imeshaodhiwa na vigogo watatu; Real madrid,Barcelona na Bayern Munich na bingwa wa msimu huu hatatoka nje ya hizi timu tatu.
 
Kuna mdau hapo juu ameitaja Liverpool yenye kikosi chembambaa! jamani mpira unachezwa na kikosi kipana chenye wachezaji wazuri wanaoweza kunyumbulishwa wakanyumbulika.
unaikumbuka Chelsea ya 2012?
 
Atletico msimu huu ni kama walipanga watoke UEFA mapema waende Europa wakanyanyue kwapa maana UEFA imeshaodhiwa na vigogo watatu; Real madrid,Barcelona na Bayern Munich na bingwa wa msimu huu hatatoka nje ya hizi timu tatu.
Naomba umtoe Madrid Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…