Madrid kwenye hatua za mtoano hawanaga cha kupoteza, anaweza kubeba tena kombe usiwadharau.Naomba umtoe Madrid Mkuu
Namsubili muone kitachomtokea PSG ,uyu anaenda kupigwa njendani hapo ndomtajua Madrid ni tim ya haina gani.Madrid kwenye hatua za mtoano hawanaga cha kupoteza, anaweza kubeba tena kombe usiwadharau.
Madrid kwenye hatua za mtoano hawanaga cha kupoteza, anaweza kubeba tena kombe usiwadharau.
Acha ushabikiUkitumia kigezo cha udhaifu wa EPL ni kweli
Hata simba ndo timu bora duniani kwa sasa inafunga magori meeengi.
Ahahaaaaaaaaaaah...hao wakubwa sana, hata kwa atletico madrid huyu man city hatoki.
Nitatamani sana kuona Barca akipangiwa Man U UEFA.
Ahahaaaah...Kwangu bado kuna Bayern na Madrid, hawa watu wanacheza mpira kiwango cha hali ya juu kuliko Man City.
Ahahaaaah...Atletico msimu huu ni kama walipanga watoke UEFA mapema waende Europa wakanyanyue kwapa maana UEFA imeshaodhiwa na vigogo watatu; Real madrid,Barcelona na Bayern Munich na bingwa wa msimu huu hatatoka nje ya hizi timu tatu.
Kwani Mkuu PSG kwake si anatamba anavyoweza? Bernabeu kilimpata nini? Hii Madrid unaona inachemka sababu Spain kuna mpira, sio matangazo kama EPL.Ahahaaaah...
Madrid ipi inayocheza mpira wa kiwango cha juu kuliko Man City..!?
Haishangazi lakini...
African football experts katika ubora wenu..!!!
hao wakubwa sana, hata kwa atletico madrid huyu man city hatoki.
Mkuu...Kwani Mkuu PSG kwake si anatamba anavyoweza? Bernabeu kilimpata nini? Hii Madrid unaona inachemka sababu Spain kuna mpira, sio matangazo kama EPL.
Kwani Mkuu PSG kwake si anatamba anavyoweza? Bernabeu kilimpata nini? Hii Madrid unaona inachemka sababu Spain kuna mpira, sio matangazo kama EPL.
Ahahaaaah...Sasa Kama Real inachemka Sapain Kwa Sababu Kuna Mpira! Je Ilichemka Kwa Spurs Kwa Sababu EPL Kuna Nini?
Hebu Tupe Matokeo Ya REAL MADRID vs SPURS ya Mechi Zote Mbili za Champion League!
Utakaponipa Matokeo Zingatia Jambo hili!
1) Spurs inashika Nafasi Ya Tano Kwenye EPL.
Jamaa anaamini Uingereza hakuna mpira kwasababu City anaongoza kwa point 16...Ingawa Sipo Hapa Kwa Kufyagilia Man City au Barca! Lakini Nakumbusha Tu Kuwa Pale [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] pana Timu inaonekana Ni The Most [HASHTAG]#Underrated[/HASHTAG] lakini itakachokifanya Champion League Wengi Hamtokisahau! Endeleeni Hivyo hivyo Kujifanya Hamuoni inachokifanya.
Ahahaaaah...
Mkuu,ili jukwaa kuna watu wana matatizo sana..!
Eti MTU anasema kabisa kuwa msimu huu Madrid inacheza mpira mkubwa kuliko Man City..!
Seriously..!!?