Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

Madrid kwenye hatua za mtoano hawanaga cha kupoteza, anaweza kubeba tena kombe usiwadharau.
Namsubili muone kitachomtokea PSG ,uyu anaenda kupigwa njendani hapo ndomtajua Madrid ni tim ya haina gani.
 
Kwangu bado kuna Bayern na Madrid, hawa watu wanacheza mpira kiwango cha hali ya juu kuliko Man City.
Ahahaaaah...
Madrid ipi inayocheza mpira wa kiwango cha juu kuliko Man City..!?
Haishangazi lakini...
African football experts katika ubora wenu..!!!
 
Atletico msimu huu ni kama walipanga watoke UEFA mapema waende Europa wakanyanyue kwapa maana UEFA imeshaodhiwa na vigogo watatu; Real madrid,Barcelona na Bayern Munich na bingwa wa msimu huu hatatoka nje ya hizi timu tatu.
Ahahaaaah...
Eti walipanga..!
 
Ahahaaaah...
Madrid ipi inayocheza mpira wa kiwango cha juu kuliko Man City..!?
Haishangazi lakini...
African football experts katika ubora wenu..!!!
Kwani Mkuu PSG kwake si anatamba anavyoweza? Bernabeu kilimpata nini? Hii Madrid unaona inachemka sababu Spain kuna mpira, sio matangazo kama EPL.
 
hao wakubwa sana, hata kwa atletico madrid huyu man city hatoki.

Ila usisahau Mkuwa Mbabe Wa Atletico ambaye Ni Real Madrid Amefungwa Na Spurs! Wakati Kikosi Kizima Cha Spurs Ni Sawa Na Kikosi Cha Hakiba Cha Man City.
 
Kwani Mkuu PSG kwake si anatamba anavyoweza? Bernabeu kilimpata nini? Hii Madrid unaona inachemka sababu Spain kuna mpira, sio matangazo kama EPL.
Mkuu...
Sizungumzii habari ya ubovu au uzuri wa Real Madrid...
Nachozungumzia mimi ni kifuatacho:

Je,ni kweli Real Madrid(msimu huu) anacheza mpira wa hali ya juu kuliko Man City..!?
 
Kwani Mkuu PSG kwake si anatamba anavyoweza? Bernabeu kilimpata nini? Hii Madrid unaona inachemka sababu Spain kuna mpira, sio matangazo kama EPL.

Sasa Kama Real inachemka Sapain Kwa Sababu Kuna Mpira! Je Ilichemka Kwa Spurs Kwa Sababu EPL Kuna Nini?

Hebu Tupe Matokeo Ya REAL MADRID vs SPURS ya Mechi Zote Mbili za Champion League!

Utakaponipa Matokeo Zingatia Jambo hili!
1) Spurs inashika Nafasi Ya Tano Kwenye EPL.
 
Ingawa Sipo Hapa Kwa Kufyagilia Man City au Barca! Lakini Nakumbusha Tu Kuwa Pale [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] pana Timu (Liverpool) inaonekana Ni The Most [HASHTAG]#Underrated[/HASHTAG] lakini itakachokifanya Champion League Wengi Hamtokisahau Kwani Ni Hatari Kuliko Hiyo Man City! Endeleeni Hivyo hivyo Kujifanya Hamuoni inachokifanya.
 
Sasa Kama Real inachemka Sapain Kwa Sababu Kuna Mpira! Je Ilichemka Kwa Spurs Kwa Sababu EPL Kuna Nini?

Hebu Tupe Matokeo Ya REAL MADRID vs SPURS ya Mechi Zote Mbili za Champion League!

Utakaponipa Matokeo Zingatia Jambo hili!
1) Spurs inashika Nafasi Ya Tano Kwenye EPL.
Ahahaaaah...
Mkuu,ili jukwaa kuna watu wana matatizo sana..!
Eti MTU anasema kabisa kuwa msimu huu Madrid inacheza mpira mkubwa kuliko Man City..!
Seriously..!!?
 
Ingawa Sipo Hapa Kwa Kufyagilia Man City au Barca! Lakini Nakumbusha Tu Kuwa Pale [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] pana Timu inaonekana Ni The Most [HASHTAG]#Underrated[/HASHTAG] lakini itakachokifanya Champion League Wengi Hamtokisahau! Endeleeni Hivyo hivyo Kujifanya Hamuoni inachokifanya.
Jamaa anaamini Uingereza hakuna mpira kwasababu City anaongoza kwa point 16...
Wakati huo huo haoni Liverpool na Spurs wanachokifanya huko UEFA..!
 
Ahahaaaah...
Mkuu,ili jukwaa kuna watu wana matatizo sana..!
Eti MTU anasema kabisa kuwa msimu huu Madrid inacheza mpira mkubwa kuliko Man City..!
Seriously..!!?

Washabiki Wa Barcelona na Real Madrid Mimi Huwa Nina Wajua Ni Watu Wasiokubali Ukweli wala Kuconfess ukweli Wa Kile Kinachoendelea!

Hata Media Nyingi Duniani Zimekuwa [HASHTAG]#Blinded[/HASHTAG] na Timu hizi na Ndiyomana Subiri December utakuja Kuoba Iniesta , Modric, Bale, Ronaldo , Benzema, Casemiro Wamo Katika Kikosi Bora Cha FIFA cha Mwaka 2018 wakiachwa Kina De Bruyne, Harry Kane, Mbape, Mo Salah, Aguero, Matic , De Gea na Hazard.
 
Mimi Nesema Kwa Spain Nzima Hakuna Timu Yoyote inayoweza Kuifunga Timu Yoyote Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] iliyomo Champion League isipokuwa Barcelona pekee ambayo Ndiyo inaweza Kushinda Angalau One leg (Nou Camp) lakini pia Haina uwezo Wa Kushinda Ndani Ya Uengereza.

Anaebisha Aje Aniprove wrong Hapa ili nimpe Matokeo Yote Baina Ya Timu za EPL na Spain tokea Group Stages.
 
Back
Top Bottom