Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

Mbona liver anafungwa na swansea halafu anamfunga man city
 
BBC ni UK media lazima waipe promo team ya UK kama kawaida yao na ligi yao ya matangazo.
 

Eeh mpaka Matic awepo kwenye kikosi cha UEFA [emoji23][emoji23]
 
Naona vijana wa EPL wanapeana moyo


Tengua Tuliyoyazungumza Kwa Hoja na Sio Kujifariji Kwa Mambo Ya Kusadikika!

By the way! Kumbe Ndiyo Nyinyi Munaoziangalia Ligi Zinazochezwa na Farmers pamoja Na Coolies Kama Vile Ujerumani na Ufaransa Mukazifanya Ni Ligi bora.
 
Eeh mpaka Matic awepo kwenye kikosi cha UEFA [emoji23][emoji23]


Soma Mantiki Ya Nilichokiandika sio uinterprets mambo literally!
Angalau ungelisema nikusaidie Kwa nilichokimaanisha!!!
Yani Huezi Kumueka Casemiro ukamuacha Matic...
Huwezi Kumueka Bale ukamuacha Mo Salah.
Huwezi Kumueka Benzema Ukamuacha Harry Kane au Aguero.
Huwezi Mchukua Ter Stegen Ukamuacha De Gea.
Huwezi Kumchukua Iniesta na Modric Kwa viwango vyao Kwa Sasa Ukamuacha KD. Bruyne.

Kwahiyo Simaanishi Kuwa Matic Ni Lazima Awemo..
Najua Kuwa Kwa Sasa Ni S. Buaquets.
 
Akili za BBC changanya na zako mkuu, Time "ll justify
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…