Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Liver tunapiga Man city leo ..Majogoo yashaamka msuli umejam unasubiri kuweka nyavuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pep mashineeeIla jamaa wanakikosi kamili mkuu
Premier mkuu compact sizanHivi kifurushi cha dstv cha 69000 compact utaona mech ya Liverpool maana nilikua nalipia 109000 sasa vyuma kama mnavojua,wajuz nifahamishen maana naona ghafla dstv wamefanya yao
Hata sisi tunachoIla jamaa wanakikosi kamili mkuu
Mechi SAA ngapi?Haya leo mtanange mwingine huu ...first leg Liverpool alikuwa 5 [emoji2] [emoji2] [emoji2] ..vp kuna uwezekano wa kupindua matokeo? Mimi naamini Liverpool anakufa 2-1
Bosi Bado hujanishawishi ..Watu wanatabiri tu kwa kutumia kigezo cha 5 bila, kama uliitazama ile mechi kuanzia mwanzo mpaka Sadio Mane anapewa kadi upepo unabadilika, utakubaliana na mimi kwamba Man City ni draw tu ndo itamwokoa.
Labda kadi nyekundu wapewe Liverpool tena mapema.
Bosi Bado hujanishawishi ..
Moja kamili masaa machache kutoka sasaHuu ugomvi unaanza saa ngapi saa za Africa mashariki?
Liverpool akishinda leo mimi nahamia CCMLiverpool anashinda mbili.... tuonane apa badae