Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajiuaa mwenyewe na subTatizo la Liver hawawezi kubana mpaka mwisho.....ngoja tuone hii 4-2 itadumu?!!!
utahamia kwenye majukwaa au unasubiri vikao vya ikulu?Liverpool akishinda leo mimi nahamia CCM
Hahahautahamia kwenye majukwaa au unasubiri vikao vya ikulu?
Naona mkuu ulikuwa unasubiri kwa hamu sanaHatimaye, aisee
Huyo atakuwa arsenal[emoji23]Naona mkuu ulikuwa unasubiri kwa hamu sana
Ni Man U huyoHuyo atakuwa arsenal[emoji23]
Kumbe,ila kesho wanashindaNi Man U huyo
Mkuu 69000 wanakufungulia ss1 had 10 unakosa ss Maximo tu.Premier mkuu compact sizan
Unawajua majogoo were?Liverpool atachapwa kama mtoto
Naona wewe ndio umekimbia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaaa.. turudi hapa baada ya mechi ingawa najua watakimbia watu hapa
Njoo uchukue kadi no.2 aliyoiacha kingungeLiverpool akishinda leo mimi nahamia CCM
Nmecheka mno
Bosi Bado hujanishawishi ..
Ahadi zingineLiverpool akishinda leo mimi nahamia CCM
Hahahahahahh ahamie fastautahamia kwenye majukwaa au unasubiri vikao vya ikulu?