Man city vs Liverpool ... predictions.

LIVERPOOL KAPATA MAGOLI YA BAHAT MBYA, MANINA, ZINEONGEZEKA DK 5 INGEKUWA 4-5 MANA LIVER WALISHACHOKA

5-0 IMEBAK HSTORIA
 
Kwa waliahid kuhama chama ni wakat wa kupakia mizigo na kwenda ccm[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya leo mtanange mwingine huu ...first leg Liverpool alikuwa 5 [emoji2] [emoji2] [emoji2] ..vp kuna uwezekano wa kupindua matokeo? Mimi naamini Liverpool anakufa 2-1

Asante kwa utabiri wako uliotukuka
 
Hivi kifurushi cha dstv cha 69000 compact utaona mech ya Liverpool maana nilikua nalipia 109000 sasa vyuma kama mnavojua,wajuz nifahamishen maana naona ghafla dstv wamefanya yao
Mkuu nikupe pole sana. Mimi nalipia kifurushi cha 19,000 tu. Access. Na ninapata super sport 3, 10 ambayo ni 210, 235 hizi zote zinaoneshs EPL. Mwanzo mwisho hakuna kusikrachi. Pia napata 207 ligi ya hispania la liga mechi zote..209,208 na 204.
 
Wengine wanaangalia mpira juuu juu tu hawaangalii kiufundi pamoja na pep ana timu nzur kahangaika sana kumfunga liverpool gem ya kwanza n arsenal

Mkuu watu wanaangalia game live score, wakiona 5 - 0 wanajua timu ilizidiwa sana.

Kuna watu niliwaambia awepo Coutinho au asiwepo, as long as Salah, Mane na Firmino wanacheza wote pamoja, Man City hasimami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…