Man of God

El Fuego

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2020
Posts
495
Reaction score
969
Wakuu kwema?

Wazee wa zamani walisema "Don't judge a book by it's cover".
 
Kwa sisi tuliolelewa na kuandaliwa vizuri katika kumtumikia Mungu na huyu Mungu tunayemjua wa kwenye Biblia. Hakuna mtumishi wa Mungu hapo. "Theolojia ya kiutumishi" haipo hapo. Anajifurahisha tu na hata ukisikiliza shuhuda na kile anachohubiri sio cha kibiblia.
 
Ni msiba mzito kwa jina la Yesu makanisani.
Mti mwema huzaa matunda mema.
Math.7:17

Mathayo 7:15-20 BHN​

β€œJihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwamwitu wakali. Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La!
Basi, mti mzuri huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa matunda mazuri utakatwa na kutupwa motoni. Kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao.
 
Umesema mkuu, yaani huyu jamaa anashuhuda zake za kwenda mbinguni za ajabu kabisa... Yaani yeye na Zumaridi... Story zao hazina mShiko... Yaani huwezi ona mission ya maana ya kupeleka huko wanaita mbinguni... Mi nacho jua Hawa wamepelekwa mbinguni ya shetani ambayo pia ni kwenye Sayari za Mars na nyingine... Ila kwa vile walijikuta ktk huduma bila kujua Mungu vilivyo, walishindwa kujua manae mtu mikia ni sio Mungu, story zake za Malaika hazina mShiko bali zinawafanya watu wavivu kutafuta Mungu wa kweli
 
Ni mtumishi yupi mwenye shuhuda na mahubiri ya kibiblia?
 
Spiritual daddy wake je πŸ˜€πŸ˜€ ni mu handsome yule braza hadi sio poa πŸ˜€πŸ˜€
Aisee
Huko kanisani sipati picha hao wadada
Acha tuendelee kuwashangaa kwa mbaaliiiiiiπŸ˜„πŸ€£
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€udugu yuko mbezi beach tu hapo hata hajaoa
Nikaombewe sasa, nikombe na account nipeleke sadaka kwa huyu mtumishi wa Mungu mwenye mvuto kwa wanakondoo 😁
 
Ah wapi
Kumsifia mtu sio dhambi aisee and it doesn't mean you want to get laid,
Physical attraction inaanza alafu vingine vinafuata bila kujua. Neema na rehema za bwana zinatemebea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…