Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilichomo ndani huwa kinajidhihirisha nje...
Sio mchungaji ni NABII David RichardHuyo Jamaa ndo Mchungaji au?
Ni msiba mzito kwa jina la Yesu makanisani.
Mti mwema huzaa matunda mema.
Math.7:17
Umesema mkuu, yaani huyu jamaa anashuhuda zake za kwenda mbinguni za ajabu kabisa... Yaani yeye na Zumaridi... Story zao hazina mShiko... Yaani huwezi ona mission ya maana ya kupeleka huko wanaita mbinguni... Mi nacho jua Hawa wamepelekwa mbinguni ya shetani ambayo pia ni kwenye Sayari za Mars na nyingine... Ila kwa vile walijikuta ktk huduma bila kujua Mungu vilivyo, walishindwa kujua manae mtu mikia ni sio Mungu, story zake za Malaika hazina mShiko bali zinawafanya watu wavivu kutafuta Mungu wa kweliKwa sisi tuliolelewa na kuandaliwa vizuri katika kumtumikia Mungu na huyu Mungu tunayemjua wa kwenye Biblia. Hakuna mtumishi wa Mungu hapo. "Theolojia ya kiutumishi" haipo hapo. Anajifurahisha tu na hata ukisikiliza shuhuda na kile anachohubiri sio cha kibiblia.
Ni mtumishi yupi mwenye shuhuda na mahubiri ya kibiblia?Kwa sisi tuliolelewa na kuandaliwa vizuri katika kumtumikia Mungu na huyu Mungu tunayemjua wa kwenye Biblia. Hakuna mtumishi wa Mungu hapo. "Theolojia ya kiutumishi" haipo hapo. Anajifurahisha tu na hata ukisikiliza shuhuda na kile anachohubiri sio cha kibiblia.
Ushamtamani au sio? Nenda kanisani bado hana mke unaweza bahatika ukakalia Maybach yake.Nabii yuko vizuri!
Ah wapiUshamtamani au sio? Nenda kanisani bado hana mke unaweza bahatika ukakalia Maybach yake.
Spiritual daddy wake je 😀😀 ni mu handsome yule braza hadi sio poa 😀😀Nabii yuko vizuri!
😀😀😀😀udugu yuko mbezi beach tu hapo hata hajaoaAmeoa? Kanisa lake liko wapi nikaombewe
AiseeSpiritual daddy wake je 😀😀 ni mu handsome yule braza hadi sio poa 😀😀
Nikaombewe sasa, nikombe na account nipeleke sadaka kwa huyu mtumishi wa Mungu mwenye mvuto kwa wanakondoo 😁😀😀😀😀udugu yuko mbezi beach tu hapo hata hajaoa
😀😀😀ukifika ni daddy pls pray for meNikaombewe sasa, nikombe na account nipeleke sadaka kwa huyu mtumishi wa Mungu mwenye mvuto kwa wanakondoo 😁
Akishaoa wadada wote wanapotea kanisani mtu unabaki kujiuliza anatafutwa bwana au BwanaAisee
Huko kanisani sipati picha hao wadada
Acha tuendelee kuwashangaa kwa mbaaliiiiii😄🤣
Physical attraction inaanza alafu vingine vinafuata bila kujua. Neema na rehema za bwana zinatemebea tuAh wapi
Kumsifia mtu sio dhambi aisee and it doesn't mean you want to get laid,