Man Utd haitochukua taji lolote Msimu huu wa 2017/18


Zinashiriki timu 20. Zitaje zote ambazo hazitachukua. Umeiona Man u peke yake?
 
Round ya pili ni mechi zilizopit y

Mechi Za tarehe 26,27 ni za Kumalizia round ya kwanza

Hapana Boss. ni round ya pili inaanza
mfano mancity al
We jamaa nimekwambia mechi ya man na Leicester ni mechi ya kwanza round ya pili ila mechi ya jana man u na Burnley ni mechi ya mwisho round ya kwanza, jaribu kuwa muelewa,soma post namba 65 utaelewa

Kwahiyo mech mzunguko wa kwanza zinakuwa mechi ngapi? maana timu zipo 20. kwahiyo mzunguko wa kwanza ni 19 matches, na wapili ni 19 matches,
kwahiyo hapa teams ambazo zimeshacheza mechi 20 inamaana tayari wameshaanza mzunguko wa pili. Kifupi ni kwamba mzunguko wa pili umeshaanza. Na Man united kwenye mzunguko wa pili amepoteza point 2. Ni sawa hapo?
 
Round ya pili ni mechi zilizopit y

Mechi Za tarehe 26,27 ni za Kumalizia round ya kwanza
Kwahiyo round ya pili mlishaanza? Nimejaribu ku google sijaona Mechi Bunley na Man U. So utakuwa sahihi, Ila ulitakiwa kutuambia mzunguko wa pili umeshaanza ila wa kwanza uliwekwa kiporo mapaka hizi tarehe.
Thanks for info
 
Sawa shekhe yahya rapa
 
Hawa Man City Hapana ni moto wa kuotea mbali,
City ya msimu huu sio ile, aliachwa point 15 na Chelsea ambae alichukua kikombe, ila wamekuja na moto mkali sana
kuanzia ushambuliaji, beki, Golikipa nae anasevu.
 
Mourihno si aina ya kocha wa Man United. Ku park Bus Man U ni aibu ya karne.
 
Sawa kabisa man u kapoteza points 2 tu mzunguko wa pili kapoteza dhidi ya Leicester
 
Mzunguko wa kwanza huwa ni mechi 19 lakini nilichikiona timu mbili umalizana kabisa kwenye mzunguko wa kwanza,kwa mfano Totenham na Man city wameshamalizana kabisa, hiyo hipo kwa timu zote,angalia mechi za 19 zote walikuwa wameshakutana na timu moja hubaki bila kukutana na timu nyingine kwenye mzunguko wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…