Duuu! We kweli kiazi sasa unabishaje bila data?Kamdanganye mourinho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu! We kweli kiazi sasa unabishaje bila data?Kamdanganye mourinho
Kombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.
Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi ambapo yupo nyuma ya point 11 dhidi ya vinara Man City, Kwenye Uefa Champions League hapa nisiwe mnafiki Man Utd hana kikosi cha kupambana na timu kubwa kwenye Uefa. Na michuano ya mwisho ni ya Kombe la F.A ambayo simpi nafasi ya kufanya vyema.
Hivyo msimu huu Man Utd watamaliza msimu bila kunyanyua makwapa licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa wa kutumia pesa nyingi katika usajili wa wachezaji kama Lindelof, Lukaku na Matic.
Poleni Man Utd wenzangu!
Round ya pili ni mechi zilizopit y
Mechi Za tarehe 26,27 ni za Kumalizia round ya kwanza
We jamaa nimekwambia mechi ya man na Leicester ni mechi ya kwanza round ya pili ila mechi ya jana man u na Burnley ni mechi ya mwisho round ya kwanza, jaribu kuwa muelewa,soma post namba 65 utaelewa
Kwahiyo round ya pili mlishaanza? Nimejaribu ku google sijaona Mechi Bunley na Man U. So utakuwa sahihi, Ila ulitakiwa kutuambia mzunguko wa pili umeshaanza ila wa kwanza uliwekwa kiporo mapaka hizi tarehe.Round ya pili ni mechi zilizopit y
Mechi Za tarehe 26,27 ni za Kumalizia round ya kwanza
Sawa shekhe yahya rapaKombe pekee walilokuwa wana nafasi ya kushinda ni lile la Carabao Cup ambalo wameondoshwa jana baada ya kufungwa 2-1 na Bristol City ya daraja la kwanza.
Hivyo amebaki kwenye Michuano ya Ligi ambapo yupo nyuma ya point 11 dhidi ya vinara Man City, Kwenye Uefa Champions League hapa nisiwe mnafiki Man Utd hana kikosi cha kupambana na timu kubwa kwenye Uefa. Na michuano ya mwisho ni ya Kombe la F.A ambayo simpi nafasi ya kufanya vyema.
Hivyo msimu huu Man Utd watamaliza msimu bila kunyanyua makwapa licha ya uwekezaji mkubwa uliofanywa wa kutumia pesa nyingi katika usajili wa wachezaji kama Lindelof, Lukaku na Matic.
Poleni Man Utd wenzangu!
Sawa kabisa man u kapoteza points 2 tu mzunguko wa pili kapoteza dhidi ya LeicesterHapana Boss. ni round ya pili inaanza
mfano mancity al
Kwahiyo mech mzunguko wa kwanza zinakuwa mechi ngapi? maana timu zipo 20. kwahiyo mzunguko wa kwanza ni 19 matches, na wapili ni 19 matches,
kwahiyo hapa teams ambazo zimeshacheza mechi 20 inamaana tayari wameshaanza mzunguko wa pili. Kifupi ni kwamba mzunguko wa pili umeshaanza. Na Man united kwenye mzunguko wa pili amepoteza point 2. Ni sawa hapo?
Mzunguko wa kwanza huwa ni mechi 19 lakini nilichikiona timu mbili umalizana kabisa kwenye mzunguko wa kwanza,kwa mfano Totenham na Man city wameshamalizana kabisa, hiyo hipo kwa timu zote,angalia mechi za 19 zote walikuwa wameshakutana na timu moja hubaki bila kukutana na timu nyingine kwenye mzunguko wa kwanza.Hapana Boss. ni round ya pili inaanza
mfano mancity al
Kwahiyo mech mzunguko wa kwanza zinakuwa mechi ngapi? maana timu zipo 20. kwahiyo mzunguko wa kwanza ni 19 matches, na wapili ni 19 matches,
kwahiyo hapa teams ambazo zimeshacheza mechi 20 inamaana tayari wameshaanza mzunguko wa pili. Kifupi ni kwamba mzunguko wa pili umeshaanza. Na Man united kwenye mzunguko wa pili amepoteza point 2. Ni sawa hapo?
Maurihno siyo Kocha ni mhamasishaii tuMourihno si aina ya kocha wa Man United. Ku park Bus Man U ni aibu ya karne.
wamenichania mkeka..ilikua Nile buku 9Maurihno siyo Kocha ni mhamasishaii tu
unabetiaje man utd mzee mwenzang?wamenichania mkeka..ilikua Nile buku 9