Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili linawacost sanaMan u wasipoachana na makocha wa kuinua vipaji hata top 6 haingii
Kuna siku mtamkumbuka, huyo jamaa ndiyo mwenye picha kamili ya nini shida ilipo, lkn hawataki kumsikiliza...Binafsi nina imani sana na ten hag. Tumpe muda lakini ronado bora asepe.
Conte kocha mzuri Sana aliyoyafany pale Stamford bridge tukatwaa epl akaondok bila kuchafua cv yakeYalikuwa ni maamuzi ya wazimu kabisa. Tazama ndani ya muda mfupi tu Spars ilivyobadilika, Naamini kabisa kwa Man Utd mwaka huu Conte angeli challenge Title na Man City.
Sehemu aliyopita Van Gaal, Morinho Waka chemsha. Conte sio suluhisho, Kwasasa hakuna dawa ya kuitibu Man u mojakwamoja.
Iki kikombe lazima tukinywe kwakua imetupasa sisi Man UTD tupitie Hali hii Ili turudi Tena katika Ufalme.
Ni swala la muda tu, ila lazima tupitie kwanza mateso haya Ili tujifunze wenzetu walipitia Hali gani.
Conte Ata pale spurs atawasumbua sana conte ndio sababu ya city kudondosha point na kukalibiwa na livepoor msimu uliopita conte ndio aliwafanya livepoor wakose ubingwa Ile mechi ya moja moja pale anfield ili pepelusha ubingwa man united Ina matatizo Toka juu kule team Ina uingireza mwingi sana ile
Pamoja na matatizo mengine Ronaldo anaathiri sana kwa kauli yake kuwa anataka kuondoka lakini bado yupo!Binafsi nina imani sana na ten hag. Tumpe muda lakini ronado bora asepe.
Juve, Chelsea sio Man UTD, Man UTD ni Klabu kubwa sana duniani, Ina presha kuliko izo ulizo zitaja.Mkuu acha kumlinganisha Conte na Van Gaal. Conte ni proven kabisa kwenye kuzipa timu mafanikio ambazo zinakuwepo kwenye mess
Alianza Juve, akaja Chelsea akamaliza na Inter. na hivi sisi ameisha transform Spurs ambayo ilikua kwenye hali mbaya sana.
Juve, Chelsea sio Man UTD, Man UTD ni Klabu kubwa sana duniani, Ina presha kuliko izo ulizo zitaja.
Levy ameachana na ubahili na kaamua kutoa pesa za usajili unaoleweka. Wachezaji waliokuwa wanaambiwa hawauzwi pale Spurs wameondoka chini ya Conte na waliobaki wanatafutiwa soko.Sehemu aliyopita Van Gaal, Morinho Waka chemsha. Conte sio suluhisho, Kwasasa hakuna dawa ya kuitibu Man u mojakwamoja.
Iki kikombe lazima tukinywe kwakua imetupasa sisi Man UTD tupitie Hali hii Ili turudi Tena katika Ufalme.
Ni swala la muda tu, ila lazima tupitie kwanza mateso haya Ili tujifunze wenzetu walipitia Hali gani.
Conte ni kocha mzuri ila si kocha wa kusema akija Man U watapata Makombe. Ndiomaana Nika andika, kama Ameshindwa Van Gaal na Morinho. Kumleta Conte ni kubahatisha, Conte anaweza kuwa mzuri spurs, Juve, Chelsea n.k lakini pale UTD nikitu kingine.Acha kumu underestimate Conte mkuu. hatupo kwenye suala la pressure tupo kwenye kujua nini anafanya. jamaa anazitafuta kabisa chalenge kama hizo, na ndio mana kabla ya kukubali kibarua cha spurs, aliomba ajira pale Man Utd mwenyewe ili awanyooshe wakamchomolea.