Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Conte ni kocha mzuri ila si kocha wa kusema akija Man U watapata Makombe. Ndiomaana Nika andika, kama Ameshindwa Van Gaal na Morinho. Kumleta Conte ni kubahatisha, Conte anaweza kuwa mzuri spurs, Juve, Chelsea n.k lakini pale UTD nikitu kingine.
Man U tusubili, hatujui dawa yetu tutapata lini. Kikubwa tujitaidi tusishuke daraja.
Conte akiipa ubingwa tot ndo nitaamini yy ni bingwa chelsea na juve zina DNA ya makombe hivo sishangai kubeba ndoo kwa kocha yoyote wa kujitambuaConte uwezo wake ni zaidi ya hao uliowataja. Kwahiyo kushindwa kwao haiwezi kuwa sababu ya yeye kushindwa.
Labda hujamfatilia Van gaal yule jamaa Huwa anahitaji muda kujenga timu kama Man u wasingekuwa na papara Sasa hivi wangekuwa wanabadilisha ubingwa na timu nyingineMkuu acha kumlinganisha Conte na Van Gaal. Conte ni proven kabisa kwenye kuzipa timu mafanikio ambazo zinakuwepo kwenye mess
Alianza Juve, akaja Chelsea akamaliza na Inter. na hivi sisi ameisha transform Spurs ambayo ilikua kwenye hali mbaya sana.
CR7 kageuka mzigo kwa timu, asepe tuNa inakoelekea,MAN U,inaweza ikashuka Daraja,nadhani CR7 katambua hilo,anataka asepe.
Labda hujamfatilia Van gaal yule jamaa Huwa anahitaji muda kujenga timu kama Man u wasingekuwa na papara Sasa hivi wangekuwa wanabadilisha ubingwa na timu nyingine
sijajua umetumia vigezo gani lakini kusema Conte ni zaidi ya Morihno ni big No.Conte uwezo wake ni zaidi ya hao uliowataja. Kwahiyo kushindwa kwao haiwezi kuwa sababu ya yeye kushindwa.
sijajua umetumia vigezo gani lakini kusema Conte ni zaidi ya Morihno ni big No.