Man Utd walifanya kosa la Karne la Kutompa timu Conte

Na inakoelekea,MAN U,inaweza ikashuka Daraja,nadhani CR7 katambua hilo,anataka asepe.
 

Conte uwezo wake ni zaidi ya hao uliowataja. Kwahiyo kushindwa kwao haiwezi kuwa sababu ya yeye kushindwa.
 
Conte aliipa ubingwa Juventus ambayo ilikua na miaka karibu tisa haijagusa Serie A, msimu wake wa kwanza Chelsea aliwapiku vigogo kama Pepe na Klop akachukua epl, akaipa Intermilan ubingwa wa Serie A baada ya kuukosa kwa miaka 10.
Conte ndio kocha ambaye angeifaa Man U kwa sasa.
 
Mkuu acha kumlinganisha Conte na Van Gaal. Conte ni proven kabisa kwenye kuzipa timu mafanikio ambazo zinakuwepo kwenye mess
Alianza Juve, akaja Chelsea akamaliza na Inter. na hivi sisi ameisha transform Spurs ambayo ilikua kwenye hali mbaya sana.
Labda hujamfatilia Van gaal yule jamaa Huwa anahitaji muda kujenga timu kama Man u wasingekuwa na papara Sasa hivi wangekuwa wanabadilisha ubingwa na timu nyingine
 
Labda hujamfatilia Van gaal yule jamaa Huwa anahitaji muda kujenga timu kama Man u wasingekuwa na papara Sasa hivi wangekuwa wanabadilisha ubingwa na timu nyingine

na ndio mana nikasema Conte ndie aliyewafaa, mana huwa hahitaji muda mrefu kujenga timu.
 
sijajua umetumia vigezo gani lakini kusema Conte ni zaidi ya Morihno ni big No.

Acha kuishi kwa historia, Mourinho ameshapoteza ubora wake kwa miaka mingi sana, Ana karibu miaka 10 sasa toka ashinde League title.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…