Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Watu wengine bhana[emoji52]
Oya MAN WALTER.....kama umeshindwa kabisa kumpigia mshkaji mziki wa bongo fleva mwache bhana....sio lazma jina lako liinuke tena kupitia yeye.
Tangu kipindi kile cha "Mwana" mi nilikua nakuzoom tu zile beat zako zakumkimbiza kimbiza mshkaji......ukaja ukamtengenezea "Chekecha chekechua" yani mwendo ni ule ule tu kumlazimisha jamaa kukata mauno.
Tukapumzika kidogo baada ya jamaa kwenda kwa ABBY DADY na kutupa bonge la ngoma ile "AJE" yani ikawa ni full burudani palee.........
Sasa nae alivompuuzi akarudi kwako ukamtengenezea "SEDUCE ME"....Sio siri ile ngoma tuliipokea lkn kwa mashaka kinomaa.......yan tumeisukuma sukuma tu kimazabe mazabe but kwa uzuri ilizidiwa hata na "CINDERELA"
Sasa sa hv ndo kabisaaaaaa yani umetuletea huu ushuzi wa radi mtaani ya mpka umeboaa yani........yani mwanangu umemtoa mshikaj kwnye bongo fleva umemleta huku kwenye bolingo yani akae sasa meza moja na kina "Nyoshi el sadaati"
NYIMBO MBAYA YANI MBAYA KABISA MWANANGU...........!!!! Yani sasa alikiba anafunikwa hadi na wakina Amber lulu na wakina Whozhu.
WE MAN WALTER KUANZIA LEO NAOMBA UWE MZALENDO WA MZIKI WA ALIKIBA.......MWACHE JAMAA AKAFANYE KAZI NA CURRENT PRODUCERS...WEW USHAPITWA NA WAKATI BHANA.
Lilinikaba sana kooni hili....leo nimelitoa[emoji58]