Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa kiba kwenye beat huwa anachemsha, wakati wimbo ni beat.hapana mkuu....alikiba kwenye mziki wa bongo fleva huwa hakosei hata siku moja.....sasa jamaa kampa beat ya bolingo ndo matokeo yake hayo
Na wewe mdangaji unafanya nini huku?....ukweli unabaki palepale king amechemsha..Kama kuna mwanamke shogaa sawa i will the be first and the last one on earth.......stay on ur lane biiisssh hatred iss new form of slavery mwanaum huwez amka na kuandika vitu kama hivyo badala ya kuwaza pesaaa
Wenye pesa huwa hawajionyeshi wewe ni maskini huna hela yoyote ndo maana unamfuatilia mwanaume mwenzio ambaye kakuzidi kila kitukwann niwaze pesa wakati naamka nazo? mkuu usifikire kwa tumbo, tumia kichwa hicho kikubwa kilichoshikiliwa na shingo.
huwa hawajionyeshi kwahyo wanashinda uvunguni au?Wenye pesa huwa hawajionyeshi wewe ni maskini huna hela yoyote ndo maana unamfuatilia mwanaume mwenzio ambaye kakuzidi kila kitu
Sijakuelewa maana hata swali ulilouliza hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi uliza fafanuahuwa hawajionyeshi kwahyo wanashinda uvunguni au?
basi wewe upo chekechea. ukifik la kwanza niPMSijakuelewa maana hata swali ulilouliza hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi uliza fafanua
Napata picha halisi kama wewe si mwanamke basi mwanaume wa Dar kazi kufuatilia mwanaume fulani kafanya nini kama ni mwanamke ntajua labda unampenda Alikiba ila kama ni mwanaume wa Dar sitashangaa sababu najua hauna kitu cha kufanya narudia kwa mtu mwenye kazi yake na kuwaza future yake hawezi kukaa na kuota nani kafanya nini badala ya kuwaza yakebasi wewe upo chekechea. ukifik la kwanza niPM
Mbona unaongea maneno mengi kama Bi Chau?Napata picha halisi kama wewe si mwanamke basi mwanaume wa Dar kazi kufuatilia mwanaume fulani kafanya nini kama ni mwanamke ntajua labda unampenda Alikiba ila kama ni mwanaume wa Dar sitashangaa sababu najua hauna kitu cha kufanya narudia kwa mtu mwenye kazi yake na kuwaza future yake hawezi kukaa na kuota nani kafanya nini badala ya kuwaza yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]we mziki gani ndani tunaskia kabisa sauti za kina alichoki wanaitikia......aaarrrggghhh
Haya ndo yanayoshinda nyumban mpaka sasa akipata ela ya bando basiii hana linginee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umempa za uso
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaitwa le koko banga le tutu bamba...yaani ni wa kikongo kongo hv
usikalili maisha mdogo wangu.......mi ndo nimeleta mada lkn sio mpka nikiwa naandika uzi humu bs nianze na kichwa cha habari " habari zenu mimi ni mfanyakazi kampuni flan au hospitali flani na elimu yangu ni kiwango flani,, ili tuweze kuheshimiana"" Music ni burudani.....inatureflesh mind pale tunapochoka baada ya kazi....vivo hivo hata hapa jf, sio mbaya kujadili nyimbo ya mtu sababu yeye kaileta kwa ajili yetu ili tumsikilize.......kama ni hivo basi sio ujinga hata kidogo kuijadili.Haya ndo yanayoshinda nyumban mpaka sasa akipata ela ya bando basiii hana linginee
Mbwembwe tu za Mvuta bangi.... Ni Walter.Hivi ni WALTER au WATER? Mara Nyingi Namsikia Asilimaile 20 akitamka MAN MAJI.