usikalili maisha mdogo wangu.......mi ndo nimeleta mada lkn sio mpka nikiwa naandika uzi humu bs nianze na kichwa cha habari " habari zenu mimi ni mfanyakazi kampuni flan au hospitali flani na elimu yangu ni kiwango flani,, ili tuweze kuheshimiana"" Music ni burudani.....inatureflesh mind pale tunapochoka baada ya kazi....vivo hivo hata hapa jf, sio mbaya kujadili nyimbo ya mtu sababu yeye kaileta kwa ajili yetu ili tumsikilize.......kama ni hivo basi sio ujinga hata kidogo kuijadili.
Acha kujifanya ww upo pazuri na unaakili sana mdogo wangu....kila mmoja akisema ataje kazi yake au biashara yake na kipato chake basi hapatatosha humu.
Et "sina hela nikipata hela ya bando basi ndo inaishia humu" hakianani kuna watu mnadharau kwa kweli.
Anyway......Hongera ww ambae unakwako.....wacha tulionyumbani mpaka leo (as u've said) tuendelee kujadili ujinga......ukiona haikusu basi sio zambi kutulia tu kistaarabu mkuu.