Man Walter umenikwaza sana, leo sikuachi

Hahahh...relax n take a several seat.......bado mdogo ata ukisena nnuandishi wako ni wa ki kid in irene paul's voice lol
 
Najaribu tu kufikiria kwa akili ya kawaida,mtu kama Ali Kiba ni brand kubwa,Ana management,ana washkaji na wadau mbalimbali ambao anaweza kuwasikilizisha kazi zake kabla hajazitoa ili kupata maoni kama ziko ktk ubora sahihi kwa hadhi yake.je Kaz kama Ile imepenyaje kwa watu wote Hao mpaka itufikie?wanaogopa kumwambia ukweli au hawatumii kupata maoni Yao?maana hata mm nisiye ktk music industry angeniuliza ningemwambia atafute wimbo mwingine sio huo,huo hata Abdul Kiba usingemfaa
 
πŸ˜‰πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€





 
Namshauri ajaribu kumsajili Papiii kocha au Christian Bella. Wataendana zaidi, maana beat zake jamaa ni za miziki ya dance ktk high tempo!
 
Huyo kiba kama anaakili timamu afanye REMIXX auweke sawa
 
mada hizi zote zinajaribu kunyanyua wimbo
 
Acheni kumsingizia Man maji hahahaha Kiba amefeli
Kwa kifupi KA WIMBO HAKA NI KABAYA MNO...promo ya kuua mtu ya Clouds bado mtaani hakasikiki...bora hata AJE japo nayo ilikua kawaida.
Kiba hana cha ziada anaweza ku offer..hapo kafika mwisho wa uwezo wake kabisa
 
Kiba na Diamond wameshafikia level za juu..hata wakiimba Yooh Yooh watu watasikiliza..huu ni muda wakuwabeba upcoming kama Marioo,Lavalava etc kutengeneza new generation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…