Man Water: Ali Kiba hajanilipa, kaenda kurudia nyimbo tulizofanya kwingine

Man Water: Ali Kiba hajanilipa, kaenda kurudia nyimbo tulizofanya kwingine

Inaonekana hata Moko genius ana siri nyingi kuhusu kiba ila anashindwa kusema anakufa nazo kimya kimya. Mziki ni biashara na ni kazi kama nyengine na sio undugu.
 
Kupitia interview alizofanya Man water kisha kuelezea kila kitu kuhusu king kiba basi haina budi wewe Diamond kumsaidia maana una roho ya kusaidia wenye shida.

Ndugu yetu anatamani kukuomba msaada basi anashindwa maana alishajazwa kichwa toka zaman na watu kwamba ni mkubwa zaidi yako lakini moyoni mwake anajua yeye ni starlet wewe Ni Audi Gtron.

Labda man water anamsingizia ila pia na Abby skills anasibitisha kua alimshauri kiba awe anatoa nyimbo back to back ila alikataa. Wengi tulijua kwa sababu ngoma zake labda zinakaa mtaani sana kumbe ni ukosefu wa Pesa.
Kama msanii unajiita king hafu unashindwa kulipia studio.
Mambo machache muda mwingi
 
Nassib ana vitu vingi vya kufanya kwa ajili yake, familia yake na ndoto zake,

Ali Salehe ana vitu vingi vya kufanya kwake, kwa familia yake ni malengo yake.

Mtoa mada usitumie nguvu nyingi kumulika kwa Jirani, washa bulb kubwa angaza kwako, kitu pekee unachoshea na hawa wawili ni social media platform tu, hakuna mmoja kati yao anayekuingiza pesa benki au kulisha familia yako. SHTUKAA
 
Nassib ana vitu vingi vya kufanya kwa ajili yake, familia yake na ndoto zake,

Ali salehe ana vitu vingi vy kufany kwake, kwa familia yake n Malengo yake.

hiki alichokileta hapa mtoa mada ni sehemu sahihi wala hakupeleka kwake
 
Pasipo haya mambo dunia haijakamirika au kwa mtizaml wako tuwe kama kisiwa yaani watu wasizungumzie watu maarufu eti kwa kwa sababu hupati pesa.

Dunia haiwezi kuwa yenye furaha, karaha nk kwa kuacha kuongelea haya
Nassib ana vitu vingi vya kufanya kwa ajili yake, familia yake na ndoto zake,

Ali salehe ana vitu vingi vy kufany kwake, kwa familia yake n Malengo yake.

Mtoa mada usitumie nguvu nyingi kumulika kwa Jirani, washa bulb kubwa angaza kwako, kitu pekee unachoshea na hawa wawili ni social media platform tu, hakuna mmoja kati yao anayekuingiza pesa benki au kulisha familia yako. SHTUKAA
 
Soma
Pasipo haya mambo dunia haijakamirika au kwa mtizaml wako tuwe kama kisiwa yaani watu wasizungumzie watu maarufu eti kwa kwa sababu hupati pesa.

Dunia haiwezi kuwa yenye furaha, karaha nk kwa kuacha kuongelea haya
Soma content ya mtoa mada kisha tafakari na jibu langu utaelewa vema ndugu.
 
Soma
Soma content ya mtoa mada kisha tafakari na jibu langu utaelewa vema ndugu.
Pasipo kusoma content na comments nisingetoa mchango wangu mkuu, ni kwa sababu hiyo imepelekea kujibu vile.
 
Sio kweli kiba hawezi kulipa hiyo hela ni dharau,jeuri na kujiona mjuaji na kutaka kumkomoa jamaa, nothing else, nimesikiliza interview yake kaongea kwa dharau sana yule broh
 
Man water atumie utaratibu kudai haki yake sio vizuri kuzunguka kwenye media kumdai haiwezi kumsaidia anajiharibia kazi yeye mwenyew mbona anashindwa kuwa professional
 
Amfungulie kesi ya hakimiliki kama pfunk alivyofanya na akalamba 100m....VOMO SHARIZA aka MAJI unakwama wapi?
 
Man Water Studio yake Haina Jipya Ana njaa Kiba alikua anamweka hewana sana,.

Kiba anambeba Sana Man water studio yake ilishapoteza Mvuto,. Ukibisha Weka Hit tofauti za Ali kiba alizozifanya Man Water kwa Miwili au mitatu nyuma.
 
Back
Top Bottom