Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa s2kizzyInaonekana hata Moko genius ana siri nyingi kuhusu kiba ila anashindwa kusema anakufa nazo kimya kimya. Mziki ni biashara na ni kazi kama nyengine na sio undugu.
Tufanye hana uwezo Wa kulipia ili mtoa mada afurahi....Dahh.....
Too bad. King Kiba.
Mi siamini bado. Kama anakosa 4M.
hiki alichokileta hapa mtoa mada ni sehemu sahihi wala hakupeleka kwakeNassib ana vitu vingi vya kufanya kwa ajili yake, familia yake na ndoto zake,
Ali salehe ana vitu vingi vy kufany kwake, kwa familia yake n Malengo yake.
Mtoa mada usitumie nguvu nyingi kumulika kwa Jirani, washa bulb kubwa angaza kwako, kitu pekee unachoshea na hawa wawili ni social media platform tu, hakuna mmoja kati yao anayekuingiza pesa benki au kulisha familia yako. SHTUKAA
Nassib ana vitu vingi vya kufanya kwa ajili yake, familia yake na ndoto zake,
Ali salehe ana vitu vingi vy kufany kwake, kwa familia yake n Malengo yake.
Mtoa mada usitumie nguvu nyingi kumulika kwa Jirani, washa bulb kubwa angaza kwako, kitu pekee unachoshea na hawa wawili ni social media platform tu, hakuna mmoja kati yao anayekuingiza pesa benki au kulisha familia yako. SHTUKAA
Soma content ya mtoa mada kisha tafakari na jibu langu utaelewa vema ndugu.Pasipo haya mambo dunia haijakamirika au kwa mtizaml wako tuwe kama kisiwa yaani watu wasizungumzie watu maarufu eti kwa kwa sababu hupati pesa.
Dunia haiwezi kuwa yenye furaha, karaha nk kwa kuacha kuongelea haya
Pasipo kusoma content na comments nisingetoa mchango wangu mkuu, ni kwa sababu hiyo imepelekea kujibu vile.Soma
Soma content ya mtoa mada kisha tafakari na jibu langu utaelewa vema ndugu.