Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
US nao waonevu tuYaani Samua amteue muuaji kuwa balozi?
Makonda haruhusiwi kuingia US kwa sababu anadhulumu haki za watu za kuishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
US nao waonevu tuYaani Samua amteue muuaji kuwa balozi?
Makonda haruhusiwi kuingia US kwa sababu anadhulumu haki za watu za kuishi.
DuuuuuhDaby ni short form ya Daudi Bashite
Nao wale wale wa kutafuta fursa.Mbona tabia za wengi wanaojiona hadhi kubwa, ukute na Manara nae wale wale.
Haki ya Mungu wallah, Manara ni kijana hatari. Sio kwa majibu haya
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kwa hiyo tumeshajivika vyeo vya kuhukumu?... Nadhani busara ni kukaa kimya na kujifunza kwa Makonda.
Tomorrow is unpredictable.
Longtime Kiongozi.Kwa hiyo tumeshajivika vyeo vya kuhukumu?... Nadhani busara ni kukaa kimya na kujifunza kwa Makonda.
Tomorrow is unpredictable.
.....Umenena vyema Manara....Siku ukija huku kijijini kwetu nitakuzawadia JOGOOHaji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda.
Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanaongozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo.
Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake.
Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.
Pia, soma=> Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli
=> Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake
Sasa kwa waraka huo wa Manara nini tofauti yake na yule Makonda aliyekuwa na kiburi kipindi cha hatamu yake?
kweli we mwanauchiYaani kwa posts hizi dhidi ya Makonda, nimeamini kweli Paul Christian Makonda ni MWAMBA hasa! Hakuna cha kujadili bajeti, wala uzinduzi anaofanya Mama wa SGR ya JPM, wala upandaji wa being wa mafuta. Ni Makonda tu! Kweli wewe ni MWAMBA!
Manara msemaji na kibaraka wa jambazi GSM.Utumbo mtupu.Mbona tabia za wengi wanaojiona hadhi kubwa, ukute na Manara nae wale wale.
Yaani kwa posts hizi dhidi ya Makonda, nimeamini kweli Paul Christian Makonda ni MWAMBA hasa! Hakuna cha kujadili bajeti, wala uzinduzi anaofanya Mama wa SGR ya JPM, wala upandaji wa being wa mafuta. Ni Makonda tu! Kweli wewe ni MWAMBA!
Huwezi kujibu hoja nzito dogo. Hiyo uliyotoa inatosha.kweli we mwanauchi
Kweli. Katika Falsafa wanasema, You cannot live in a society and be free from it. Watakusema kwa mabaya au mazuri. Mwisho wa siku ukweli unadhihiri!Hata iblisi hujadiliwa kila cku
Soma uelewe kasema alimkataliaKwa hiyo alijisaidia chumbani kwake?