Manara afukuzwe Simba, anajua tuna mechi ngumu na Yanga yeye anaanzisha mgogoro na Barbara

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,088
Reaction score
2,287
Uongozi wa Simba amkeni, kabla ya saa nne, wanachama na wapenzi wa club tupate taarifa, tayari mmeshamfukuza huyu msaliti

Anajua kabisa keshokutwa tuna mechi ngumu na mtani,yeye anaanzisha mgogoro na Babla tena kwa kuitangazia Dunia. Amesahau kwamba yote anayofanya GSM, Azam, Asas ni kwa sababu ya Brand ya Simba. Anajaribu kujionyesha yeye ni mkubwa Kuliko club na kwamba timu ameikuta. Viongozi hebu timueni huyu Shetwani
 
Isije ikawa kiki kwa pikipiki.
 
Iwekwe hapa kura ya maoni tuone wanaotaka Manara afukuzwe na wanaotaka Barbra aondoke.
 
Back
Top Bottom