Huyu haifiki mchana keshafurushwa mnaomshobokea kanyweni nae kahawa nyumbani kwakeHakuna mwenye jeuri ya kumfukuza Haji.
Don't panic brother, inawezekana anayo hoja na sababu ya kufanya anayofanya, usilolijua....Huyu haifiki mchana keshafurushwa mnaomshobokea kanyweni nae kahawa nyumbani kwake
Ana kipi mpaka asifukuzwe?Hakuna mwenye jeuri ya kumfukuza Haji.
Asili yake hiyo.Manara noma, aliwatapeli hadi ccm magwiji wa utapeli.
Fukuza hiyo pimbi.Hakuna mwenye jeuri ya kumfukuza Haji.
Mshahara ni makubaliano ya mwajiri na mwajiriwa, bargaining power ikihusika. Sasa kama una certificate unategemewa ulipwe bei gani.Ila jamani nyekiti janjajanja sana yani Haji hana hata mkataba na analipwa laki 7
Hiyo hoja yake ameshindwa kuipeleka sehemu sahihi?Don't panic brother, inawezekana anayo hoja na sababu ya kufanya anayofanya, usilolijua....
Walimsweka ndaniManara noma, aliwatapeli hadi ccm magwiji wa utapeli.
Ndo maana sabasaba kapromote sana jezi za Azam!Write your reply...Manara anahamia Azam
Uongozi wa Simba amkeni, kabla ya saa nne, wanachama na wapenzi wa club tupate taarifa, tayari mmeshamfukuza huyu msaliti
Anajua kabisa keshokutwa tuna mechi ngumu na mtani,yeye anaanzisha mgogoro na Babla tena kwa kuitangazia Dunia. Amesahau kwamba yote anayofanya GSM, Azam, Asas ni kwa sababu ya Brand ya Simba. Anajaribu kujionyesha yeye ni mkubwa Kuliko club na kwamba timu ameikuta. Viongozi hebu timueni huyu Shetwani