macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni ajabu. Huyu mwanzisha thread ni kati ya hawa chawa wanaoishi kwa kulamba vidonda vya muuaji Makonda pengine. Makonda karma yake iko njiani na nina uhakika hao watu aliotesa na wengine kuua kuna siku yatamkuta. Anadhani Samia ndiyo Mungu?Tukianza kumjadili Manara kwa mitazamo na hulka zake tutakuwa hatuna tofauti na wasengenyaji kitaa kwakuwa haathiri jumuiya kwa maneno yake.
Tumakimike tusije tukaangukia kwenye ule usemi usemao small minds discuss people
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye haya maisha nimejifunza somo moja kubwa sana.Ni kumbukumbu ya kilichotokea mwaka 2022 baada ya sakata la Makonda na GSM.
Ajabu ni pale ambapo Haji Manara bila kueleweka alikotokea, aliamua kuingilia ugomvi usio muhusu. Alimuanika Makonda mchana kweupe na kumdhalilisha vibaya mno...
Umeongea vizuri ila hapo unavyoona umesaidiwa na jamaa wakati ni hela yako ulikuwa unamdai nimeshangaa... jaribu kutoa mfano mwingine hio mfano hapo ni wa kinyonge sana aisee.Kwenye haya maisha nimejifunza somo moja kubwa sana.
Kwamba adui yako au mtu yeyote yule ambaye unamchukia eidha alikudhulumu ama alikufanyia mabaya basi akianguka usije ukamaliza maneno yako yote,maana Mungu huwainua tena watu hawa kwa kishindo...
Wewe umeongea vyema. Hicho cheo ni kama mtego... akizingua watamzingua vibaya sana. Mwenezi hana nguvu kubwa. Labda angekuwa mwenezi huku mwenyekiti akiwa JPM.Nahisi kuna haja ya kutolewa elimu juu hasa ya kazi/nguvu ya Katibu Itikadi na Uenezi wa chama...
Hayo ni maisha ambayo nimeamua kuishi kaka,na hiyo ndio msimamo wangu,sipigishani kelele na watu kwa mambo ya kawaida.Umeongea vizuri ila hapo unavyoona umesaidiwa na jamaa wakati ni hela yako ulikuwa unamdai nimeshangaa... jaribu kutoa mfano mwingine hio mfano hapo ni wa kinyonge sana aisee.
Ndugu uko vizuri sana. Washindi wote huwa wana moyo wa kusamehe. Kwenye hii dunia usipoweza kusamehe hutaishi kwa amani. Ila kwenye baadhi ya mambo usionyeshe unyonge maana watakuonea. Kwa mfano huyo jamaa unayemdai alikuwa ni mtu wa kupelekewa tu moto sio hadi aone aibu ndo akupe nusu ya hela yako.Hayo ni maisha ambayo nimeamua kuishi kaka,na hiyo ndio msimamo wangu,sipigishani kelele na watu kwa mambo ya kawaida.
Haya maisha yanahitaji uvumilivu,na uimara wa moyo.
Kwangu mimi kusamehe pesa ni uvumilivu kuliko kumpiga na kumtukana ninayemdaia huku asinilipe.
Na hii imekuwa inafanya kazi sana kwangu mkuu,so kinachonipa matokeo chanya nakifanya na huwa naishi nacho.
😃😃.
...Hata wewe ni CHAWA wake ? Sad [emoji45]...Paul Makonda kajua kuwakomesha watu, tuliwaambia huyo mtu hagusiki bakizeni maneno msije mkaumbuka, sasa kiko wapiiiiiii,
Baba Keagan kanyaga twende, tumechelewa sanaaaaaaaaaa
Baba kegan alipotezewa mpaka na wale waliokuwa wanasema mlezi wao wale wachafu, sijui wataanza kujirudisha urafiki Ila kapata funzo la kujua watu wanakupenda ukiwa kwenye nafasi, mungu kamtoa aibu.Paul Makonda kajua kuwakomesha watu, tuliwaambia huyo mtu hagusiki bakizeni maneno msije mkaumbuka, sasa kiko wapiiiiiii,
Baba Keagan kanyaga twende, tumechelewa sanaaaaaaaaaa
Kwani atawafanya nini?Paul Makonda kajua kuwakomesha watu, tuliwaambia huyo mtu hagusiki bakizeni maneno msije mkaumbuka, sasa kiko wapiiiiiii,
Baba Keagan kanyaga twende, tumechelewa sanaaaaaaaaaa
Wapi nimesema anatakiwa amkamate mtu? Hapa tunaonesha kua Mungu akikuandikia NDIO ni ndio tu, hakuna wakusema Hapana.Kwani atawafanya nini?
Kumbuka ameteuliwa kwenye chama chake.... Na kikatiba hana mamlaka ya kuamuru kukamatwa mtu...labda atumie njia haramu au magenge
Watajirudisha wale hawana aibu, lakini na yeye atakaa kimachale hawezi kujiachia kama mwanzoBaba kegan alipotezewa mpaka na wale waliokuwa wanasema mlezi wao wale wachafu, sijui wataanza kujirudisha urafiki Ila kapata funzo la kujua watu wanakupenda ukiwa kwenye nafasi, mungu kamtoa aibu.
Hapana mkuu,kupelekea moto watu sio njia ambazo nazikubali katika kutatua matatizo yangu.Ndugu uko vizuri sana. Washindi wote huwa wana moyo wa kusamehe. Kwenye hii dunia usipoweza kusamehe hutaishi kwa amani. Ila kwenye baadhi ya mambo usionyeshe unyonge maana watakuonea. Kwa mfano huyo jamaa unayemdai alikuwa ni mtu wa kupelekewa tu moto sio hadi aone aibu ndo akupe nusu ya hela yako.
SahihiTukianza kumjadili Manara kwa mitazamo na hulka zake tutakuwa hatuna tofauti na wasengenyaji kitaa kwakuwa haathiri jumuiya kwa maneno yake.
Tumakimike tusije tukaangukia kwenye ule usemi usemao small minds discuss people
Sent using Jamii Forums mobile app